matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
Wadau nimevutiwa na madam Spika leo kapendeza alivyosuka nywele,Pengine atapunguza hata unoko hadi nywele zifumuke.Congrats madam you look good.
picha mkuu!....
wadau embu tuweke msuko wa madame pembeni tupeni mrejesho manongalia bunge kauli ya waziri wa ajir KUHUSU FAO la kujitoa
Wadau nimevutiwa na madam Spika leo kapendeza alivyosuka nywele,Pengine atapunguza hata unoko hadi nywele zifumuke.Congrats madam you look good.
peleka kwenye celebrities haituhusu sisiWadau nimevutiwa na madam Spika leo kapendeza alivyosuka nywele,Pengine atapunguza hata unoko hadi nywele zifumuke.Congrats madam you look good.
Dah!
Kweli watu tumetofautiana kuangalia mambo!!
Yaani katika bunge la leo mtoa mada kaona issue kubwa ni msuko wa speaker??
Wonders shall never end!!