Recent content by Fadhy

  1. F

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Ahsante sana kwa uliyeshea pia kuweka credit ya mwandishi. Pia nimefurahi kuweza kuwafahamu mashoto wenzangu wengine.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mbeya long time kitambo

    Umenikumbusha mbali sana. The feelings of growing up in Mbeya.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ushahidi : Diamond alikuwa inspired na Mr. Blue

    Safi sana.
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jomo Kenyatta International Airport (JKIA): News, construction & gallery

    JKIA ni pazuri sana. Lakini wenzetu wanaonesha ni kiasi gani wapo serious.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Msumbiji hawakumbuki walikotoka

    Our Pain Your pain, yet more my pain, Aliandika Armando Guebuza, Sasa kimewakumba kitu gani, Hata kwenu mwatufukuza? Your pain, yet more my pain, Tulifundishwa hadi shuleni, Maumivu mwenu mioyoni, Yakawa yetu pia nchini. Your pain, ikawa yetu pain, Kamwe hatukuwaacha nyuma...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mpiga filimbi wa Hamelin! Deliver every promise

    Ahsante sana mkuu. Nimefurahi sana kukipata.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Neno la shukrani kwa wote

    Pole sana Mkuu. Tunakuombea kila la heri. Mungu azidi kukupigania.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

    Kwa mujibu wa maandishi mbalimbali ni kuwa picha zote zilizochorowa kuhusu Yesu katika karne ya 15 ambayo ilikuwa ndicho kipindi cha renaissance barani Ulaya zilichorwa kuwakiliha taswira ya Cesare Borgia. Hizi ni zao Leonardo da Vinci, Micheloangelo na wengineo.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu CESARE BORGIA

    Niliwahi kuandika hapa kuhusu Cesare Borgia na taswira ya Yesu Kristo mwananchi mimi!: Cesare Borgia na taswira ya Yesu Kristo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Uzembe: Fadhy Mtanga atapeliwa maelfu kizembe

    Ahsante sana mkuu kwa ushauri huo.
  11. F

    JamiiForums Tanzania Peter Bwimbo (Mlinzi mkuu Mwl. J.K Nyerere): Changamoto nilizokumbana ktk Ulinzi wa Mwl. Nyerere

    Shukrani sana mkuu. Nakisubiri kwa hamu.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Uzembe: Fadhy Mtanga atapeliwa maelfu kizembe

    Ahsante sana mkuu
  13. F

    JamiiForums Tanzania Uzembe: Fadhy Mtanga atapeliwa maelfu kizembe

    Ahsante sana kaka mkubwa.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Uzembe: Fadhy Mtanga atapeliwa maelfu kizembe

    Shukrani sana mkuu
  15. F

    JamiiForums Tanzania Uzembe: Fadhy Mtanga atapeliwa maelfu kizembe

    Ha ha ha ha ha haaa ahsante sana
Back
Top Bottom