Hakika mkuu, kuna watu wanafikiri wanaotafutwa ni wale wanayoisema vibaya serikali, lakini hata mafisadi na wahujumu uchumi wetu ambao siri zao zinavujishwa humu wanaweza kuwa wanatafutwa kwa nia ovu,Kuna ambao watajikuta kuwa walikuwa ndio walengwa hata hawakuguswa na kukamatwa kwangu, hapo ndipo watajua tunapigania nini.