Recent content by Fadhil kondo

  1. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania IGP Mangu: Muda wowote tutamkamata Maalim Seif kwa uchochezi, anayetaka ya Lugumi akaliulize Bunge

    Umakini unahitajika kujua Nani mhalifu mkuu
  2. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Mwenye kumfahamu Mtanzania huyu mkazi wa Magomeni, anateseka nchini Pakistan

    Deni lilipwe na serikali yetu ya tz
  3. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania TCU kuanza kupokea maombi tarehe 20/07/2016(Jumatano)

    Nitaomba Bsc engineering
  4. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Jini?

    Hakuwa jini ila ni baamedi
  5. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Fedha zilizofujwa ubalozini UK nani anapaswa kuwajibika?

    Majipu inside and outside, wawajibishwe kwa aibu hiyo
  6. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Lissu: Tunataka Rais Magufuli atuambie waliokwepa Kodi ni kina nani

    Tundu lisu ana umaarufu Wa kwenye mitandao na sio kwamba anajua sheria kama kina Mkono, Kabudi, lamwai, Mwema ni wakali sana
  7. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Kuwazuia wahadhiri kusafiri nje ya nchi ni kuchimbia nchi kaburi la kitaaluma

    Tuache porojo, serikali haijakataza kusafiri is kwa kibali, tunaamini MTU msomi anaushawishi tena hata kujieleza huko milango iko wazi ,sasa wewe msomi ukishishindwa kujenga hoja za safari je MTU asiye mwanataaluma ataweza,? Labda mlalamikaji ni miingini kwa waliokuwa wanaenda nje ya nchi...
  8. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Akiwa Kijiweni

    Safi
  9. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Kimenuka jumuiya za kimataifa, Rais Magufuli hasomeki

    Atasomeka tu anapima break even point ya uchumi ikoje ili ajue anaenda kuomba mini, sio Leo unachaguliwa unakuwa na kiherehere angalia kwanza hesabu zako hasa kupunguza watu wanaozagaa bila kazi za kufanya wakiwemo wanaojichimbia mabondeni, ngoja amalize bomoa bomoa
  10. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Jipu la utapeli Chuo Kikuu Dar (UDSM)

    Kama mumeo alijua ofisi in BICO iweje akutane na MTU kupanga dili mitaani? Sikh nyingine nenda ofisini sio mitaani hapo kisheria Wadelanga hana kosa ana haki kufanya shughuli zake za mitaani saa baada ya kazi Dada acha kukidhalilisha chuo UDSM
  11. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Donald Trump: I Will Lock Mugabe, Museveni in Prison

    Hiki kifaa Mimi naona kinafaa kuja kusafisha ma dictator Wa Africa, napingana nacho kwenye kuzuia waislam wasiende USA
  12. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea: Sijagombea PAC, sijagushi jina wala Zitto hajui MwanaHalisi ilivyoanza

    No comment au làbda tuseme MTU Wa kwanza duniani kupata PhD alipewa na nani? Na MTU Wa kwanza kuendesha gari, ndege au Baja alipewana nani leseni? Huyu kubenea atakuwa amejivisha mabomu ya ukanjanja wakale na sasa anaturufisha enzi za ujima.asijifanye mjuaji na ajifunze kwa formal education...
  13. Fadhil kondo

    JamiiForums Tanzania Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Hiyo Lowasa mzee wangu kigeugeu sana, haaminiki anataka nini na kama hatajirrkebisha atazidi kupotea, atulizane ajenge hoja zake kisayansi kuliko kukurupuka
Back
Top Bottom