Recent content by facebook

  1. facebook

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Kumbe haya mambo ya Ndiyoooooo hata huku yapo!! Naona CDM wanazidi kula matapishi yao!! CCM...
  2. facebook

    Ukishazaa tu ndo ujiachieee

    Yaani wewe ni kivulana cha ajabu sana coz hata hustahili kuitwa baba. Kwanza huelewi hata mwenzio yuko katika kipindi gani. Mwanamke baada ya kujifungua inabidi apate muda mrefu wa kupumzika, angalau miezi mitatu ili viungo vyake hasa vya uzazi, mgongo na kiuno vikae sawa tena kijijini kwetu...
  3. facebook

    Natamani kuachana na wife

    Bora na ww umeona. Kuna watu hawana mioyo jamani bali mawe! Inahuzunisha sana kua na mwanaume wa hivyo.
  4. facebook

    Mimba yangu jamani

    Pole sana my dia. Kimbia haraka kamuone daktari na usisahau maombi. Mimba zina maharibu sana. Watu husema mimba sio ugonjwa ila wanawake tunapitia kipindi kigumu sana. Wahi hospitali na ongea na Mungu wako bila kuchoka. Akipanga yeye hakuna atakayepangua. Pole sana
  5. facebook

    Msaada: Namtafuta Frank Wilfred Mushi

    Jamani ni frank nnayemfahamu au? Alikua mweupe hivi na kimo cha wastani?
  6. facebook

    Eti bado naogopa kupenda tena....!!!

    Dada, usiuumize moyo wako. Life is just too short kujiumiza moyo wako kwa kujinyima. Usiudhulumu moyo wangu, cha mhimu ni kumuomba tu Mungu!
  7. facebook

    Wana Jf Karibuni Tanga

    Pouwa mkuu... but kwenye ule uzi mama naona wanaoenda wote wapo na wenzi wao..sisi tulio singo inakuweje? au nipitie hapa Nyinda nichukue wa fasta fasta wa kuja naye?
  8. facebook

    Wana Jf Karibuni Tanga

    Nipo tanga tayari!! Party inaanzia wapi?
  9. facebook

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Van P alikuwa anauwezo wa kufunga, but nimeshangaa amekimbilia kujiangisha instead of passing the ball to the net!
  10. facebook

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    All 3 goals were from Szczesny and the left back Gibs! Santos could have played better!
  11. facebook

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kipaaaaa! Fac!!!
  12. facebook

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Vannnnn PPPPPPPPPP Thanx man
  13. facebook

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Van PPPpP!!
Back
Top Bottom