Me najaribu kuwaza kwa upana was chinichini ,yawezekana izi hela zilikuwa ni more than izo zilizotolewa ,kwa maantik hii inawezekana uhozo ni plenty than the № released
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa majamaa wanafki sana tulishakubiliana izo hela zituzwe kwanza mpaka mchakato wa uchaguzi mkuu ipite ndoo wazitoe, ili zilenge field yenyewe. So now zikiletwa zitaelekezwa kwa uchaguzi, ila nawaza siyo kweli chamsingi tuombe upepo wa corona ipite mbali tyuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo siyo hao member 150, issue ni kwamba wataweza kupambania budget editing hyo
Najarib kuwaza kwa mbali nikiwa nje ya Tropical
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu nianze kwa kusema hivi ugonjwa huu inaweza kuwa season disease, nadiyo rahisi kumshsmbulia mtu mweusi kwa maans immunity ya black people ni strong. Kulingana na factor ya ukuaji. Nin maana yangu
Inaweza ikawa world economic crisis. Ila kwa sababu na sis waafrika tupo duniani tujiadhari...
OK, but kwa phD uliyo nayo, na research nyingi ulizo fanya. Je ili swala unalichukuaje ki mantiki kama msomi usiseme ni Tatizo kubwa wakti wew umesoma uchumi na umefanya kazi BOT kama mshari was uchumi. Tupe technique issues za kujikwamuwa mkuu,.
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta wafugaji wa kuku wa kienyeji na hybrid (chotara), nataka kufanya biashara ya mayai nipo maeneo ya dar so aliye nazo
Naomba tuwasiliane kwa namba zifuatazo.
Vilevile napenda kutoa fursa kwa yeyte anayependa biashara hii tuwasiliane pia
Namba hii hapa .
0718247409
0714894219
Ahsanteni...
Utofauti wake ni nn??? Haswa unaposoma pcm vitu ni vilevle except calculus ndo as ipo A-level then izo pgm, pcb kitu gan cha tofauti, but difference ni kwamba A- level wana kuwa more advance lakin still bado, utakuta mwanafunzi kasoma pcm yeah anaenda chuo anafundishwa engineering mathematic...
Hawa majamaa wote wana mtizamo sawa hasa kwenye ishu ya uzalendo miguna, hanapenda haki ndo maana kasimamia msimamo wake dhidi yaserikali ya uhuru , at same time mh Tundulisu naya ni mzalendo wa kweli anapenda haki na kuwatetea wanyonge, kwa maana hyo wana upana mkubwa wa kutanguluza masilai ya...
Kweli mkuuu uwezi kuilinganisha uchumi wa viwandaa... na nchi ambazo bado viwanda ni shida.. so serikal ya mh pombe ipo vzr tusubirie moderation ya deni lataifa kwamwaka huu, ndo tutajua Gdp imekaaje wazee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naweza, ila naweza kuwa your labour manager kuangalia na kuzisimamia na kuandaa kila ktu so kama tunaweza kufanya kazi niite then mm si itaji salary but me natka share after project profit
Tywasliane through 0718247409
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.