IMF: The fastest growing economies in Africa 2020

Uchumi wetu uliishakua, tutawekwaje kwenye kundi la uchumi unaokua?!

Waliishatoka chipukizi, wakaingia uvcc, sasa wako wazazi.

How can a "dona katre" be in this category?!

Sisi tuko kwenye nchi za VIWANDA, nchi zenye Ma stigler Gorge, nchi zenye Ma Standard Gerge, sasa mnataka tena turudi kwenye kundi la watoto?!

Uchumi wetu uliishakua kwasasa uko 10%.
 
IMF kigezo.kikuu Cha kwanza wanachokitumia kupima uchumi.kukua ni kukopa pesa Mara nyingi kwao na kuzilipa kwa Wakati .Ukiwa mkopaji mzuri unayekopa Sana na kulipa Sana watakwambia uchumi wako Unakua kwa spidi ya mwewe
Hv kuna rais atakayefikia rekodi ya Magufuli katika kukopa huko IFM au Credit Suisse? Kama kukopa na kulipa ni kigezo basi uchumi wa Tanzania unakua kwa 20% maana tunakopa sana na kulipa kama ambavyo Waziri Mipango anavyotuambia kila siku.
 
Uchumi wetu uliishakua, tutawekwaje kwenye kundi la uchumi unaokua?!

Waliishatoka chipukizi, wakaingia uvcc, sasa wako wazazi.

How can a "dona katre" be in this category?!

Sisi tuko kwenye nchi za VIWANDA, nchi zenye Ma stigler Gorge, nchi zenye Ma Standard Gerge, sasa mnataka tena turudi kwenye kundi la watoto?!

Uchumi wetu uliishakua kwasasa uko 10%.

Jr
 
according to IMF ni;

1. South Sudan 8.2%,
2. Rwanda 8.1%,
3. Cote d'Ivoire 7.3%,
4. Ethiopia 7.2%,
5. Senegal 6.8%,
6. Benin 6.7%,
7. Uganda 6.2%,
8. Burk.Faso 6%
9. Mozambique 6%
10. Niger 6%
11. Kenya 6%


NCHI YANGU TANZANIA IPO WAPI WAKATI TULIAMBIA UCHUMI WETU UNAKUWA KWA KASI!??

Chanzo

RTX1PAB9-e1578833011352.jpg

REUTERS/Kim Kyung-Hoon
Prediction: Africa will win
TAKING OFF
African economies will outperform global growth in 2020 despite a lag from its biggest countries
By Yinka AdegokeJanuary 12, 2020
Last year, Africa had some of world’s fastest-growing economies and 2020 won’t be very different.
A few of the countries on the top 10 list may have changed but the IMF, World Bank and other institutions all expect above global average GDP growth.
The top performers will be South Sudan (8.2%), Rwanda (8.1%) Côte d’Ivoire (7.3%), Ethiopia (7.2%), Senegal (6.8%), Benin (6.7%) and Uganda (6.2%) along with Kenya, Mozambique, Niger and Burkina Faso all expecting 6% growth.

While these countries help push up Africa’s overall average economic growth rate forecast to 3.8% (or 3.6% for Sub Saharan Africa), these averages are weighed down closer to the global average (3.4%) by the two largest economies, Nigeria (2.5%) and South Africa (1.1%).
View attachment 1322691
Nigeria’s outlook has improved after a strong end to 2019, but most economic watchers believe it needs to grow much faster to pull large chunks of its 200-million strong population out of poverty. Economic reform has been slower than expected since February 2019’s presidential election. South Africa’s meager growth rates are exacerbated by its ongoing electricity crisis and overall political stasis. Its leaders will likely spend part of the year dreading an inevitable debt downgrade.

Since 2020 is seen as the start of a new decade, Brookings Institution’s annual Foresight Africa report looked at the average economic growth forecasts for the next five years till 2024. This predicts Senegal (8.3%), Rwanda (7.9%), Niger (7.3% ), Uganda (7.2%) and Mozambique (6.9%) as the five fastest growing over that period.
View attachment 1322692
While these forecasts are promising, most economists and investors are paying more attention to how the reality of climate change will impact their economic prognostications. Brookings highlights research which shows lowered crop yields, lower labor and agricultural productivity and damage to human health due to climate change will significantly decrease GDP in Africa. Global temperatures rising as much as 3°C by 2100 would have a disproportionate impact on Africa with aggregate GDP potentially dropping by as much as 8.6% after that year.

But on a more hopeful note Brookings analysts say there’s a $16 billion opportunity if African countries fully implement the African Continental Free Tree Agreement (AfCFTA). In the ideal scenario where there’s a 100% liberalization of tariffs across African member states under the agreement, the continent’s aggregate GDP would jump to $3 trillion by 2030 from $2.1 trillion today. In this scenario there would be a 33% increase in intra-African exports and 1.2% increase in employment.

One less optimistic economic highlight from the last few years has been growing concern about Africa’s rising debt and this continues into 2020. Most of the worry has been about eurobond debt with African countries issuing some $26 billion in eurobonds in 2019 more or less equivalent to 2018. Or, put another way, Africa issued more eurobonds in 2018 and 2019 that it did in all the years combined from 2003 to 2016.

While African eurobonds have been great for international investors seeking higher yields away from US treasuries, “the scale of issuance keeps prompting questions about default even though it amounted to just 1% of Africa’s 2019 GDP ($2.4 billion),” writes Charles Robertson of Renaissance Capital.

But of course, Africa is not a country and there will be trouble spots if care is not taken.


Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo umefarijikaaaaa Tanzania haipo!!!!
 
Record pekee za ukuaji wa uchumi wetu tunazipata NBS hawa IMF wahuni tu na wanatumiwa na mabeberu.. Eti Uchumi wa South Sudan, Niger, Ethiopia na Uganda unakua kuliko Tanzania..
 
Hii yote inatokana na kupuuza mambo, Msiba alishawataja Watu wanaokwasha juhudi za Mzee lakini mpaka sasa hawajashughulikiwa.

Kina Mzee Marope, Abdulrahamani, Benadi wako wapi?.
 
Tupo bize na kupika data kuwadanganya watanzania.

Lakini kimsingi hali yetu ni mbaya sana kiuchumi.

Tena ukichukulia kila atakae inua mdomo wake kuzungumzia uchumi anakamatwa.


Ok twendeni kama vipofu. Lakini dunia inatuona na inatuzomea. Ila kauli ya uchumi uchumi unakua 7%+ bado ipo?


Hivi kweli tunadanganywa hivi nchi hii?

Nilikuwa na wasiwasi sana na Ile report ya IMF na kuanza kubishana nao.

Wakaja na tuhuma kwamba data za uchumi wa Tanzania zinapikwa.


Na Sasa Tanzania haipo hata kwa 6% inamaana chini.


Kwa mujibu wa IMF Tanzania uchumi wake ni 4.0% 2019 na 2020 inakadiriwa itakuwa 4.2%.
 
Back
Top Bottom