We matako tu,hujajibu kitu,kwanza unajua kiingereza..!??..kwanza hizo tuzo hazikuwa BET,ni tuzo uchwara flani huko nigeria, na category aliyokuwepo Kali si "best hip-hop in Africa" bali "best in hip-hop"..award za BET alizokuwa nominated Kali hakuchukua,alidondokea pua
Sisi tunazungumzia...