Recent content by Zephiline F Ezekiel

  1. Zephiline F Ezekiel

    Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Hakuna chochote ninachoona Lakini niseme makampuni yanayosapoti kiswahili wanazingua kiasi chake, wengine mpaka uwe na domain wengine visitor wazidi kadhaa yaani kifupi kazi kubwa mapato kidogo sana
  2. Zephiline F Ezekiel

    Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Nataka website kama ni Google Adsense zilizopokea barua tayari ninazo 2
  3. Zephiline F Ezekiel

    Nitafutaje video Youtube channel?

    https://support.google.com/youtube/answer/55759 Ukikosa msaada huku njoo whatsapp Cheka na Zephiline
  4. Zephiline F Ezekiel

    Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    sync max Usijali sijakusahau nakuja kuna issue za kifamilia nazimalizia hapa mkuu
  5. Zephiline F Ezekiel

    Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    sync max nashukuru naamini tutafikia hatua nzuri
  6. Zephiline F Ezekiel

    Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Abuu abdurahman nitaanzaje kusema mm wakati natafuta, nikipata ndipo tunapanga kulingana na biashara yenyewe
  7. Zephiline F Ezekiel

    Nahitaji Website/Blog yenye matangazo ya Adsense yakifanya kazi

    Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
  8. Zephiline F Ezekiel

    Wanawake wagogo

    Imebidi nije kusoma kwanza sifa ila nilichoambulia nakosa kabisa nikae upande gani, ila kuna aliyesema Mtu na Mtu kanipa imani iliyoanza kubomoka, acha nijionee mwenyewe ila nimeshajua baadhi ya tabia so nitakuwa makini nazo
  9. Zephiline F Ezekiel

    Kwanini teknolojia ambazo si biashara hupingwa mfano wa umeme unaojizalisha wenyewe bila kutumia nishati yoyote tunazo zifahamu

    Nachukia sana anayebisha kwa kusema alifundishwa..., sasa nani anapenda uelewe zaidi ya ukalili? Hili linawezekana kabisa maana hiyo mota itataka umeme na jirani yake atataka mzunguko sasa hauoni wanaweza kugawana, cha muhimu we anzisha tu mzunguko hapo zianze kugawana huku nawewe ukipata share...
  10. Zephiline F Ezekiel

    Naomba Mnisaidie Hili Neno, ni Matahira au Matahila?

    Naitumia hapa👉 Mataahira Wawili
Back
Top Bottom