Mimi ni fundi magari, na kuna mteja wangu aliniletea kazi miaka mitatu iliyopita na kunitelekezea gereji, cha ajabu alipokuja gereji na nikampa bili ya matengenezo pamoja na ulinZi kwa kipindi chote, cha kushangaza amepeleka polisi na kuniweka lockup cku tatu na kufungua kesi maakamani ya kuwa...
Habari zenu wana jamii? Nawaombeni msaada kidogo wa kisheri plz, mfano mm ni fundi na kuna mteja alinitelekezea gari miaka minne iliyopita . ikawa alipotokea nilimpa bili ya matengenezo pamoja ma garama za ulinzi kwa kipindi chote ambacho akuwepo, matokeo yake kanigeuka ya kuwa kuna spea...
Mm binafsi cthani kama kumkamata huyo bosi. Ni solution kwani haskari polisi awakwepo barabarani? Na je kukamatwa kwake kutarudisha roho za malaika wale? ishu ni Ku take care yasije kutokea kama Yale Na sio kumchukulia hatua now it's too leit.
Hakuna cha kurudia uchaguzi wala nini, aloshinda akabithiwe nchi kwani ni lazima ma ccm jamani? Heti kwakuwa ni mpinzani kashinda uchaguzi urudiwe jamani tumuogope mungu,
Wewe ni mpumbavu. Alafu nikuambie kitu hata Kama ingetokea hivyo aijalishi watanzania tumeshaamua mabadiliko ni lowassa na ukawa, na sio magamba na makufuli no,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.