Mwenyewe nilianza na kupakia tofari, kukoroga zege, kupiga tofari, kusaidia fundi. Kimxingi kila Nazi ngumu na nyepex nilikua nafanya. Kipindi hicho nilikua na elimu ya F6. Nilipokea matusi ya kila aina kwani nilio kua nafanya nao hawakuelewa elimu yangu na sikuona umuhimu wa kujitambulisha ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.