Recent content by F.dizzoy

  1. F

    JamiiForums Tanzania Komba, mkiwagusa wabunge wa CHADEMA bungeni kwa ngumi mtatutambua watanzania

    Waambie hao wamezoea?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Ni kweli kabisa coz friend of mine told me dat matter
  3. F

    JamiiForums Tanzania Drogba kuondoka chelsea

    Unapozungumzia juu ya mafanikio ya Chelsea now days bac hautosahau kumtaja m2 anaeitwa Didie Drogba anastahiki heshma ktk kuchukua kombe la Uefa! Then nackia kuwa kisa cha yeye kuondoka ni kunyimwa mkataba wa Miaka 2 ambayo yeye alìhitaji coz walitaka kumpata mkataba wa mwaka 1 bt all da 2 him!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hizi si zama za kuwa na WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUM

    Inashangaza kusikia hvyo?
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hizi si zama za kuwa na WAZIRI ASIYE NA WIZARA MAALUM

    Hata me nashangaaa
  6. F

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya form 4

    Hata mm pia na wacwac nako pia kama uko sawa au la?
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kama huyu ndo wakuoa!! Nishaurini jamani maana niko njia panda kwa kweli...

    Hapo m2 me siöni tatizo coz wote ni wakristu tena me mwenyewe ni Anglican like u bt shda mueleweshane coz uhusiano unaonekana divine relatioship so ucmuache coz huyo ni mkeo kama isingekuwa hvyo mngeachana toka zamani.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya PRIVATE CANDITATE huwa si mazuri?????

    Mitihan aisahihishwi vizur!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mwakyembe na Mwandosya this can be true kabisa!

    Ripnti yako nzur mkuu nimeikubali!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu - Tafadhali Soma Hapa

    ni uamuzi mzr bro 2po pamoja
  11. F

    JamiiForums Tanzania In Pictures - Nargis Mohamed's Wedding

    huyu dada bonge balaa mpaka naogopa.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Inaonyesha ni jinsi 2livyo na rasrimali nying na nzuri zikiwanufaisha wachache.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Acheni roho mbaya mpeni Marks zake

    me cmpi marks yeyete kwanza mbaya.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam City in Photos

    unayo yasema ni kweli 2wekeeni na picha za sehemu nyingine.
Back
Top Bottom