Nakupa mbinu
Nirahisi hakikisha unakuwa na kuku kwaajili ya kuatamia tu na wengi kwaajili ya kutaga tu sasa Unafanya vipi 👇🏼
Chukulia mfano wa kuku 30 Tenga 15 wa kutaga na 15 kuatamia Hawa 15 wa kutaga wapatie Kila tete 5 jogoo mmoja hii ni kupata mayai Bora yenye mbegu za kutoa vifaranga Hawa...
Kweli mkuu upo sahihi kabisa hawa panya ni balaa zito hawaogopi mtu afu hawana haraka kabisa lakini pia Wana roho ngumu sana kufa, wanasauti Kali sana tofauti na panya hawa wa kawaida tuliowazoea kilichonishangaza sana hawafi kizembe Kuna mmoja nilikutana nae nimepiga sana panya anapiga kelele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.