Recent content by Ezekiel Faida Williams

  1. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania CV ya Kamishna Mkuu wa mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya

    Kwanza nimshukuru mkuu wa nchi kwa kuchaguwa watu makini.kiukweli speech ya kamishina imenikosha.jamaa yuko vizuri sana na kwa maana hiyo mapapa wajiandae.
  2. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Tatizo la subwoofer na TV kuunguruma kama kama genereta

    Kumbe kuna ma IT wazuri humu. Safi sana kijana kwa maelezo mazuri
  3. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Najaribu ndg zangu (color)=yellow
  4. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania NDOTO: Rais Magufuli kutawala awamu moja tu...

    Mi naona raisi wetu akae madarakani miaka 35.napenda sana uongozi wake kuwa wa kiwango cha phd
  5. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Kucheza kwa mtoto tumboni....

    We nenda fasta hospital hilo tatizo kabisaaaa
  6. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume

    M nipo tayar kuwa friend wako plz
  7. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amepanda cheo, ananidharau

    Mlete kwangu niko na cheo juu yake nitamnyoosha 4 six weeks.akitoka kachokaaaaaa!!!![emoji16][emoji16][emoji16]
  8. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Uvimbe kwenye uume

    Duu pole sana jamaa angu.sema nini tumia hiyo dozi uliyoandikiwa na dr ni tiba sahihi kw Tatizo hilo.tena sio wewe wa kwanza kupatwa na tatizo hilo na dawa hiyo ndio tiba yake.
  9. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Mh. Makonda anajisafisha na kashfa ya kufeli kwa kidato cha nne

    We ulipata ipi form four ? Ndio utake kujuwa ya wengine
  10. Ezekiel Faida Williams

    JamiiForums Tanzania Manji kuwasili polisi nje ya utaratibu ni ukaidi; ajiandae kulala sero

    Namhutumia Manji.ila ndio hivyo nchi ipelekwe hivi ndio tutaheshimisna.
Back
Top Bottom