Recent content by Ezekia Lameck

  1. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Selcom, nishachoka na upuuzi wao

    Pole mkuu mimi mpaka leo hawana muda wa kusolve hiyo issue
  2. Ezekia Lameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huduma ya Selcom ina utapeli

    Hao jamaa, wananipiga chenga kila siku muamala wangu umekwama tangu mwaka jana na hawana time na mimi. Imagine mwaka jana
  3. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Selcom, nishachoka na upuuzi wao

    Changamoto ikitokea tatizo hawasolve kwa wakati, nimeripot miez 6 iliyopota mpaka leo kweli? Ukitaka ujue jamaa wako na huduma mbovu pitia comment kwenye kurasa zao za Instagram
  4. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa zilipo ofisi za Selcom, nishachoka na upuuzi wao

    Hii kampuni ya huduma za kifedha hovyo kabisa, customer care mbovu hawana limit time ya kushughulikia tatizo la mteja, pesa yangu imekwama kwenye selcom pay zaid ya Miezi sita sasa hawana time na mimi kabisa hawapokei simu, hawajibu hata sms za WhatsApp. Hawa jamaa hawafai kabisa haiwezekani...
  5. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Wenzetu mmewezaje kuvunja 'cycle' ya umasikini wa ukoo/familia?

    Kwa mfumo wa maisha yetu Afrika bila kuwa kauzu hauwezi kutoboa.
  6. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

    Upo sahihi kabisa aisee, yaan madereva wengine wanasumbua sana. Anaweza asilete rejesho hata la wiki nzima mpaka muanze kutaftana.
  7. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Gari gani la milioni 4.5 linafaa kwa barabara za kijijini?

    [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Ezekia Lameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa kwenye familia za kimasikini na wewe mwenyewe masikini tupeni mbinu

    Formula ni moja tuu, kuwa na roho mbaya. Kibongo bongo bila kuwa na roho mbaya hautoboi
  9. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Kati ya pikipiki TVS hlx 150x 5G na Haoujue TF 150 ipi ni pikipiki imara na nzuri kwa matumizi binafsi

    Chukua tvs, kwangu ndio best na ni bora zaid kuliko haoujue. Ukipata 150 cc yenye 5 gear ndio nzuri zaidi hata kwenye route ndefu kidogo iko poa sana na kwenye speed ipo vizuri. Ila spear zake ziko juu kuliko haoujue ila ukifunga zinadum muda mrefu.
  10. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

    Mnyama huyu hapa BMW GS 1200
  11. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  12. Ezekia Lameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kutafuta mchepuko, tendo la ndoa na mke wangu limekuwa adimu

    Oyaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. Ezekia Lameck

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtimua rasmi Mwanamke kwa kuniambia "Upo Nyonyo"

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Ezekia Lameck

    JamiiForums Tanzania Nimeshafanya Service Bajaji yangu nataka kuondoka kwenda Mwanza na abiria wawili

    Top speed ya bajaj haifiki 100 km/h Sasa boss hapo utatumia hata siku 3 njain. Kufika utafika ila utakawia sana[emoji3]
Back
Top Bottom