Kati ya pikipiki TVS hlx 150x 5G na Haoujue TF 150 ipi ni pikipiki imara na nzuri kwa matumizi binafsi

M.jeff

Member
May 9, 2015
21
25
Wadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda.

Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina.

Naomba ushauri ipi nichukue kama una uzoefu au hata elimu kidogo kuhusu pikipiki.

Tuzingatie pia
Matumiz yake ya mafuta
Spare
Service na
Uimara wa chombo
Asante.

Screenshot_20220319-101545_Chrome.jpg
Screenshot_20220316-144551_Instagram.jpg
 
Wadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda.

Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina.

Naomba ushauri ipi nichukue kama una uzoefu au hata elimu kidogo kuhusu pikipiki.

Tuzingatie pia
Matumiz yake ya mafuta
Spare
Service na
Uimara wa chombo
Asante.

View attachment 2156319View attachment 2156321
vipi mkuu ulichukua mashine ipi?
na mimi nilijichanga kiasi nataka nipate mashine kwenye mzunguko yang
 
Wadau naomba ushauri kati ya hizo pikipiki mbili. Nahitaj kununua kwa matumiz binafasi sio boda boda.

Kw uelewa mdogo ni kwamba TVS ni pikpiki iliyotengenezwa na mhindi na Haojue ni Mchina.

Naomba ushauri ipi nichukue kama una uzoefu au hata elimu kidogo kuhusu pikipiki.

Tuzingatie pia
Matumiz yake ya mafuta
Spare
Service na
Uimara wa chombo
Asante.

View attachment 2156319View attachment 2156321
Haojue kama ya kwenye picha hapo inacheza around bei gan
 
Back
Top Bottom