Wanaopenda mziki, wanasikiliza na kuburudika kwa vyombo vinavyopigwa(akisikia tarumbeta, solo, base, rhythm, japo ni computerized). Hayo maneno watu hawajali.
Wanawake nyie wenyewe ndiyo huwa mnajisema mnatumia hisia kuliko akili. Hapo ni pale mnapofanya makosa na hamtaki kuhukumiwa.
Ila hakuna mwanaume anayejisema kwamba katumia hisia kuliko akili hata kama amekosea. Kwahiyo, mwanaume anatumia akili.
Pia, neno "kutumia hisia au akili" inategemea...
Anaweza kuhukumiwa kunyongwa ila kabla Rais hajatia saini, Desember 9 atapewa msamaha wowote ule. Hii ndiyo option ninayoiona. Hii option inawapa serikali uwalali kwamba jamaa alikuwa mhaini ila pia itampa Rais haueni kwamba ametoa msamaha na hajanyonga kiongozi wa upinzania.,
Pongezi hizo hizo tuwape polisi wanaokamata raia bila kutoa sababu. Hata wale maafisa TRA waliopigwa pale Tegeta kwa kukamata gari iliyokwepa kodi, tuwape pongezi. Waombwe msamaha kwa kupigwa na wananchi.
Wananchi tumsahau ni sisi tuliwapiga maafisa TRA, leo Baba Levo kuhoji, inaonekana ni kosa
Ndiyo maana polisi wanakamata raia hovyo hovyo na raia wanashindwa kuhoji sababu. Baba levo alitaka kujua sababu ya jambo hilo na sio taarifa za omy dimpozi. Afisa wa TRA angeweza kusema "kuna shida upande wa clearance". Jibu rahisi kabisa.
Kesho sisi raia tunataka viongozi wahoji kwanini...
Lissu hawezi kutaja kitu kinachomtia hatiani, ndiyo maana ya kujitetea.
Wakili wa serikali naye atakuja na atasema kitu kinachomtia hatiani.
Hivyo majaji wataamua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.