Recent content by exit

  1. exit

    Msaada: Viganja kuwaka moto

    Cheki afya yako ya mwili cheki diabet pia .
  2. exit

    Cryotocurrency is real!

    Ku trade kwa Tanzania nazani unaweza tumia hata Huobi Global na sio lazima uhamishe coins kwenda kwenye wallet, unaweza acha na kuhamisha only unapotaka ku withdrawal fund kwenda kwenye bank account yako, which unaweza tumia hata paypal sasa hivi kuhamisha cash . Nafanya trade ila sipo pande...
  3. exit

    Cryotocurrency is real!

    Kama unaweza kununua rig mining Tanzania unaweza fanya kwa kutumia wind au sollar power , ni nzuri sababu jua na wind zipo muda wote
  4. exit

    Tuliochanjwa chanjo ya COVID-19 Karibuni tutoe mrejesho

    Mwendazake alifanikiwa kuwafanya watanzania kuhofia kuhusu chanjo na vita vya uchumi , kuwa wazungu wanataka kutuua na chanjo. Wajinga ndio waliwao...[emoji1787][emoji1787] Nenda kachanje wewe mdanganyika, chanjo kwa afya na usalama wako.
  5. exit

    Ninataka kuwa kuwa nyumba container

    Hiyo nazani inakufaa kwa bajeti yako.
  6. exit

    Fursa kwa wataalamu wetu

    Kwa wanaohitaji kuanza maisha kwenye mazingira tofauti nafasi hiyo. https://www.businessinsider.com/finland-relocation-remote-work-tech-90-day-finn-program-2020-12
  7. exit

    Dkt. Wilbert Kleruu - Utata wa kifo chake, historia na maisha yake

    Mnara wa Kreluu kwa nyuma nyumbani kwetu Mkungugu.. home sweet home.
  8. exit

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Ukiweza kupata hii kitu umetatua tatizo. Nilikuwa na shida hiyo kwa miaka mingi na hili ndio likawa suluhisho...
  9. exit

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Possibility ni kubwa ya all mine asset going to zero value at mainet time.
  10. exit

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Unatumia ku trade kwenye platform za trade na pia unaweza uza kwa terms ya $ na kuhamishia kwenye AC yako.
  11. exit

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Tofauti na upatu coin market ni strategy yako ya kusoma na kuchanganua market. Kama ilivyo traditional stock market tu. Upatu unapigwa straight forward.
  12. exit

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Kama una bitcoins yes unaweza kuuza na ukakamata pesa yako mkononi. Mimi kwa ushauri tu kwa mtu ambaye unataka kumake money achana na bitcoin yenyewe tafuta coins zingine za kutrade zipo nyingi. Unaweza kuweka hela yako kwenye BTC leo na kesho ikashuka mpaka $17,000 kwahiyo utapoza pesa nyingi...
  13. exit

    Nitazidi kuongea hata kama mkiniita tapeli

    Umesema kitu kizuri sana lakini ku invest kwenye coin sio kwenye Bitcoin tu, zipo coins nyingi sana na baadae zinaweza kuwa na value kama bitcoin tu. Ie unaweza nunu 'V chain' coin sasa hivi kwa bei rahisi ila badae itakuwa juu sababu ya project yao. Naweka list za coins mtu anaweza nunua now...
  14. exit

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba sehemu mbalimbali

    Umbali gani toka barabara kubwa na njia kufika huko ikoje?
Back
Top Bottom