Kichochoro
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,135
- 1,168
- Thread starter
- #21
Duh mzee hyo coast wataiweza maana duh gar sanaHuenda very soon mining ikaanza kufanyika Tanzania, tuombe Uzima kuna jamaa wawili wanataka kuwekeza humo
Duh mzee hyo coast wataiweza maana duh gar sanaHuenda very soon mining ikaanza kufanyika Tanzania, tuombe Uzima kuna jamaa wawili wanataka kuwekeza humo
Mpwa, sina uzoefu, wacha nisiijimwambafai kwa vitu nisivyovijua. Mimi Nina bitcoins kwa kutumia Localbitcoin sijaingia sana huko kwingineMfano ukataka kumilik litcoin localbitcoin unaipataje mkuu tupeane mbinu
Wataweza ni Jay-Z na Mmiliki wa Twitter Mpwa, wanataka kuwekeza na to start with watatoa bitcoin 500 kwa Africa na India ili kuiewezesha Bitcoin kufahamkka.zaidiDuh mzee hyo coast wataiweza maana duh gar sana
Twitter CEO Jack Dorsey and rapper Jay-Z have announced a new Bitcoin fund that will focus on the cryptocurrency's adoption in India and Africa. The pair will invest 500 Bitcoin, which is currently worth around $24million (£17.3m), in the endowment fund named ₿trust.Duh mzee hyo coast wataiweza maana duh gar sana
Hapa btc lazima ipae Kama upepoWataweza ni Jay-Z na Mmiliki wa Twitter Mpwa, wanataka kuwekeza na to start with watatoa bitcoin 500 kwa Africa na India ili kuiewezesha Bitcoin kufahamkka.zaidi
Twitter CEO Jack Dorsey and rapper Jay-Z have announced a new Bitcoin fund that will focus on the cryptocurrency's adoption in India and Africa. The pair will invest 500 Bitcoin, which is currently worth around $24million (£17.3m), in the endowment fund named ₿trust.
Kama unaweza kununua rig mining Tanzania unaweza fanya kwa kutumia wind au sollar power , ni nzuri sababu jua na wind zipo muda woteHuenda very soon mining ikaanza kufanyika Tanzania, tuombe Uzima kuna jamaa wawili wanataka kuwekeza humo
Hapa umegusia Mimi mgeni kabsa uwi nifahamishe hapa mkuuKama unaweza kununua rig mining Tanzania unaweza fanya kwa kutumia wind au sollar power , ni nzuri sababu jua na wind zipo muda wote
Binafs nilikuwaga naamin hvyo lakin baada yakufuatilia nikajua kumbe so utapeli ilimradi upate mtu sahihi wakukufahamishaKuna mtu kashapiga faida ya ~40M within 2 months. Af kuna wapuuzi watakuja hapa kusema Bitcoins ni utapeli.
Mkuu huu mchezo mmbaya sana nimebet Zaid ya miaka mitatu nilishawahi kuwin 9mil at once,lakin hyo pesa yote nilishaliwa Hadi nikaongeza na zangu trust me Bitcoin Ni dhahabu nilishawahi kuivest pesa kidgo Sana nikaja kupata pakubwa hii Ni Zaid ya betingBora ubet
Typing errorCRYOTOCURRENCY, ndiyo nini??
Everyday is Saturday............................... 😎
Dunia inaelekea kwenye fourth indurstrial revolution, bado hatujataka kukubali. Pata muda ndugu yangu tafuta taarifa sio lazima uwekeze What to know about e-Naira, Nigeria's Central Bank digital currencyMkuu Unatafuta kwa bidii kupigwa.
Nina amini katika kufanya kazi na uzalishaji mali baas.
Mkuu umekuja kwa wakat baadhi ya watu bado wanaamin btc Ni wizi ,,,,wengi wakuingia humu wakakosa watu sahihi wakuwaelewesha wakawaibia ndyo maana wanaamin hvyo Hadi but ukweli hakuna wiz otherwise uje utoke miaka ijayo Nina miaka Zaid ya minne Leo kwenye cryptoD
Dunia inaelekea kwenye fourth indurstrial revolution, bado hatujataka kukubali. Pata muda ndugu yangu tafuta taarifa sio lazima uwekeze What to know about e-Naira, Nigeria's Central Bank digital currency
Sasa unafikiri hawa wanaowekeza kwny cryptos hizo hela wanazitoa wap km sio huko unaposema "kwny uzalishaji mali?"Mkuu Unatafuta kwa bidii kupigwa.
Nina amini katika kufanya kazi na uzalishaji mali baas.
Kuna kipindi flan hv miaka ya nyuma kdg kulikua na wimbi la majambazi kuvamia mabenki na kuiba pesa, tokeo enzi hizo mpaka leo sijasikia watu kuacha kutumia huduma za kibenki wala kuacha kuweka fedha zao benki.Swali langu kwako ni hili: Hivi karibuni kumetokea na wimbi la udukuzi katika baadhi ya wallet iliyopelekea watu wengi kupoteza kiasi kikubwa cha pesa. Kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri wa news, kuna vijana wadogo wawili wamepiga zaidi ya btc 69,000 kutoka kwenye wallet na kutokomea nazo huko South Africa, ukiachilia mbali na hilo, majuzi hapa huko Japan Zimepigwa takribani U$ 100M.
Je, wizi huu unaokuwa kwa kasi kutokana na mabadiliko ya kiteknojia kwa upande wa sarafu za mitandao, huoni kwamba inaleta uzito kwa baadhi ya watu kuwekeza muda na fedha katika biashara ambayo inaweza kuwaweka katika hasara kubwa ndani ya muda mfupi? Na kingine ni hatua gani zinazotakiwa kuchuliwa pindi mtu anapotaka ku-mine hizi cryptocurrency na kuzitunza katika wallet yake?
Nawasilisha
Dogo you still young to understand how serious things are. Jikite kwenye kazi vibaruani huko acha kulia lia.Sasa unafikiri hawa wanaowekeza kwny cryptos hizo hela wanazitoa wap km sio huko unaposema "kwny uzalishaji mali?"
Digital world imekuja kubadilisha maana na namna tunavyofanya kazi, 'kibarua' km unavyokielewa kwny analogue ni tofauti na namna kinavyoeleweka kwny digital.Dogo you still young to understand how serious things are. Jikite kwenye kazi vibaruani huko acha kulia lia.
Sauh'waaa!
Mmezoea kukariri mambo mtadhani maisha ni orodha. Nadharia tuu. Kazi ni kipimo cha utu bwana mdogo. Life is not a bed of roses. Money is hard to get you must work very hard no easy way. Anzisha angalau kabustani hapo uwani kwa shemeji yako utatoka tuu. Its a matter of focus and determination.Digital world imekuja kubadilisha maana na namna tunavyofanya kazi, 'kibarua' km unavyokielewa kwny analogue ni tofauti na namna kinavyoeleweka kwny digital.
Tafuta maarifa mkuu, ni hayo tu!
Punguza uchawi. Kama hujawahi kutumia Bitcoin wallet siyo lazima kucomment.Mkuu Unatafuta kwa bidii kupigwa.
Nina amini katika kufanya kazi na uzalishaji mali baas.
Haya bana. Acha sisi tuendelee kulima tunazidi kuchanja mbuga kwenye maendeleo.Punguza uchawi. Kama hujawahi kutumia Bitcoin wallet siyo lazima kucomment.