Recent content by Existence

  1. Existence

    JamiiForums Tanzania Mwenye ushahidi wa njama za kumuwekea sumu Lissu auweke hadharani na siyo kuichafua Serikali yetu kipindi hiki cha Kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Waambie hao wenye ushahidi wa makosa ya uhaini watoe kwanza ushahidi wao
  2. Existence

    JamiiForums Tanzania Ijue life path life yako

    Hizo master number mkuu sijaelewa, mimi imeangukia 11
  3. Existence

    JamiiForums Tanzania Wamasai ni kweli Wana haki lakini na hao Wazungu waliofungiwa barabara Wana haki yao pia, yuko wapi Waziri wa Utalii?

    Inawezekana wamedai kwa namna nyingine hawajasikilizwa, siamini kama huu ndo mwanzo wa kudai haki zao
  4. Existence

    JamiiForums Tanzania UN wants new global currency to replace dollar

    Aflu ule LA ulela
  5. Existence

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasomi na wasio wasomi lakini ni wajasiriamali acheni kukodi fremu ili kufungua biashara

    Hivi watu hua wanafikiria kwa kutumia nn??
  6. Existence

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mikopo

    Ili upate faida kupitia mkopo fanya yafuatayo 1. Uwe na biashara inayojiendesha kwa faida Mfn. Faida kwa mwezi ni 500,000/= baada ya matumizi ya ofisi. 2. Kopa mkopo ambao marejesho yake hayafiki 500,000 unayoipata kama faida baada ya kutoa matumizi ya ofisi kwa mwezi 3. Hakikisha fedha yote...
  7. Existence

    JamiiForums Tanzania Mimi ni nani? Siri ya 2085

    Nilivoona neno Uingeleza tuu nikajua hii kamba
  8. Existence

    JamiiForums Tanzania Kwa hawa watu wanaobadili dini, Ndugu na wanafamilia wa dini tofauti wajiandae kwa lipi kwenye mazishi yao?

    Dini nzuri kuliko zote ni hiyo ya kwako tuu plus kuacha matendo mabaya na kutenda matendo mema, naamini kwa mtazamo wangu utaiona pepo
  9. Existence

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Kabisa, advance ni mtego bora uende chuo
  10. Existence

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Hakuna ushauri hapa
  11. Existence

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi zinazoendana na taaluma yangu ya mifugo

    Animal health and production ndo madaktari wa mifugo??
  12. Existence

    JamiiForums Tanzania Kujenga nyumba na kununua magari ni sababu mojawapo ya Umasikini

    Hii ni uongo bhna.... Riba ya mkopo wa 100M sio chini ya 20% kwa mwaka Ukinunua bonds faida sio zaidi ya 10% kwa mwaka Ni sawa na kuchota maji mtoni na kuweka baharini
  13. Existence

    JamiiForums Tanzania Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa leo. Waislam wanajua heshima, umuhimu na maana ya mazishi

    Hatuwezi kufanana kamwe, kila mtu afanye yanayomuhusu...
  14. Existence

    JamiiForums Tanzania Hizi wilaya zinazidi makao makuu ya mkoa

    Moshi ni kubwa kuliko Kilimanjaro[emoji848]
Back
Top Bottom