Recent content by Exaud

  1. Exaud

    Wafuatao wajiandae kutetea majimbo yao kupitia upinzani mwaka 2020

    tunawakaribisha upinzani kwa moyo mkunjufu, Aluta Continueeeee!!!!
  2. Exaud

    Yaliyotokea Bungeni Jana, Kenya ni Kicheko

    Sisi bado tupo kwenye usingizi wa PONO,na anayejitahidi kutuamsha tunamwona ni ADUI! Jamani sasa tutumie akili, maarifa, hekima na busara katika ujenzi wa Taifa letu changa lililobarikiwa na Mungu, kuanzia Rasilimali, hali ya hewa n.k. Tuache ushabiki wa kisiasa usiokuwa na maana yoyote ile...
  3. Exaud

    Uchunguzi mpya wa Escrow wakamilika, vigogo matumbo joto

    Hongera Mheshimiwa JPM. Sasa Mafisadi matumbo yao yanatokota sijui wataponea wapi, wawaishwe kwenye vyombo vya sheria kabla hawajafa kwa shinikizo la damu. Sasa naanza kuelewa kwamba una nia ya dhati ya kuirudisha nchi hii kwenye Nidhamu. Ningeshauri lifunguliwe gereza maalum la mafisadi ambako...
  4. Exaud

    Hii ndo sinema ya Nazir Karamagi

    Ile tume iliyoapishwa juzi na Mh.Raisi itafufua yote yaliyofichika likiwamo la Mgodi wa Buzwagi. Mafisadi wote waliohusika katika ufisadi wa madini na mjkataba yake mibovu ikiwamo na kufunguliwa akaunti za ferha NONO nje ya nchi waanze kujiandaa kwa vifungo virefu magerezani, na pengine wengi...
  5. Exaud

    Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    Hongera sana! Mlango mmoja ukifungwa mingine 100 ya neema hufunguliwa!
  6. Exaud

    Rais Magufuli aache kupoteza muda kwa kuleta nchini viongozi wasio na tija!

    Ewe Mwenyezi Mungu Msamehe mleta mada hii kwa kuwa hajui alitendalo! Ni wale wale waliozoea kulalamikia kila kitu!
  7. Exaud

    Anguko kubwa la uchumi: Shirika mama: Wafanyakazi zaidi ya 200 waomba kuacha kazi kisa mteule wa JPM

    Hii Post ni mchosho mtupu haieleweki, ndio maana vilaza wanaondolewa kwenye hilo shirika. Kama hata kuwasilisha ujumbe unakushinda, sasa hilo shirika simnaliendesha kwa hasara! Au ni "Business as Usual?":p:p:p:p:p:p:p:p:p
  8. Exaud

    Rais kaonana na Nay wa Mitego lakini viongozi wa Upinzani/Dini kakataa why?

    Kwahiyo wewe ulitakaje? Acha ulalamishi usiokuwa na kichwa wala miguu
  9. Exaud

    Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

    Mamlaka za Maji na kufilisika kwa Serikali kuna mahusiano gani? Acha uchochezi
  10. Exaud

    Waziri Mkuu ndio mwenye jukumu la kubeba mchanga wa dhahabu huko Buzwagi?

    Tunaibiwa halafu wewe unalalamika, kuwa Mzalendo wewe!
  11. Exaud

    Bodi mpya ya Wadhamini ya CUF yasajiliwa rasmi RITA

    Wale waliofanya njama za Bwana Yule akihujumu CUF naona wataathirika muda sio mrefu kwani kuna kila dalili kwamba hakuna support kutoka kwa MKUU na si ajabu tukasikia baadhi yao wamewajibishwa. Awamu hii imeonyesha hakuna tena cha huyu ni Mwenzetu! Tafakari....
  12. Exaud

    Makundi (mitandao) mangapi yapo kwa sasa ndani ya CCM?

    Kuna makundi ya Wazee na Vijana; Makundi ya Washabiki na Wakereketwa. Nahisi Makundi Maslahi ndani ya CCM yanaanza KUYEYUKA kama barafu kwenye joto!
  13. Exaud

    Mwanahalisi na Rais Magufuli nani mkweli?

    Tehe tehe Teheeee!!!:p:p:p
  14. Exaud

    Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    wewe Mleta Mada ni Mchochezi, Askari wa Mtandaoni kamateni huyu mara moja! Tupeni yeye Korokoroni tafadhali!
  15. Exaud

    Ni nani mwenye thamani ndani ya CCM?

    Kwa hakika hakuna! Chama kipo kwenye mabadiliko makubwa (Reformation), pia kipo kwenye Mpito (Transition), wenye thamani watakuwa kizazi kipya sio wakongwe! Kazi Kwenu Wana-CCM, mlizoea kujifanyia mambo mtakavyo, sasa kaja mwenyewe, tulifunga na kuomba apatikane kiongozi atakayekomesha kiburi...
Back
Top Bottom