Mwanahalisi na Rais Magufuli nani mkweli?

MwanaHalisi wanataka kuuza gazet tu hakuna jipya hapo.Na hata hiyo habari ikiisoma ni just maoni ya maana habari kutoka na ukaribu wa Nape na Kinana ndani ya chama.
 
Wakati Rais Magufuli akituambia watanzania kuwa Katibu Mkuu wa CCM,bwana Kinana yuko nchini India kwa matibabu,gazeti la Mwanahalisi limedokeza katika habari yake kuu inayomuhusu Nape kuwa Kinana kurejea wiki hii kutoka Canada na kwamva anajipanga kumsulubu Makonda.

Sasa hapa mkweli ni nani?

Huyu Kinana hakutumwa India kwa matibabu?
Kwa akili yako unataka kulinganisha taarifa ya rais na gazeti la kada wa chadema?
 
Wakati Rais Magufuli akituambia watanzania kuwa Katibu Mkuu wa CCM,bwana Kinana yuko nchini India kwa matibabu,gazeti la Mwanahalisi limedokeza katika habari yake kuu inayomuhusu Nape kuwa Kinana kurejea wiki hii kutoka Canada na kwamva anajipanga kumsulubu Makonda.

Sasa hapa mkweli ni nani?

Huyu Kinana hakutumwa India kwa matibabu?
Hili ndo gazeti liliandika lowassa hasafishiki hata kwa dodoki, leo kasafishika na limeshiriki kumsafisha mstari wa mbele kabisa na linamuenzi kama malaika!
Je ni la kuaminika??
 
Toka ishu ya Mh.Lowasaa .itokee Mwanahalisi binafsi nawaona ni watunzi wazuri wa hadithi za nadharia na bila shaka wanawateja wengi kwani wengi wetu tunapenda hekaya za kiubunifu na za kufikirika
 
kinana hana jeuri na ujasiri wa kwenda against the system,akithubutu atakumbushwa kuhusu pembe za ndovu
daaaah...!kwa hiyo ubaya wa mtu mpaka aende tofauti na system?tupo pabaya sn.
 
Wakati Rais Magufuli akituambia watanzania kuwa Katibu Mkuu wa CCM,bwana Kinana yuko nchini India kwa matibabu,gazeti la Mwanahalisi limedokeza katika habari yake kuu inayomuhusu Nape kuwa Kinana kurejea wiki hii kutoka Canada na kwamva anajipanga kumsulubu Makonda.

Sasa hapa mkweli ni nani?

Huyu Kinana hakutumwa India kwa matibabu?
Magu mwongo!
 
Back
Top Bottom