Ni nani mwenye thamani ndani ya CCM?

Kwa hakika hakuna! Chama kipo kwenye mabadiliko makubwa (Reformation), pia kipo kwenye Mpito (Transition), wenye thamani watakuwa kizazi kipya sio wakongwe! Kazi Kwenu Wana-CCM, mlizoea kujifanyia mambo mtakavyo, sasa kaja mwenyewe, tulifunga na kuomba apatikane kiongozi atakayekomesha kiburi cha CCM, na kwa kweli amepatikana. Hakuna tena eti CCM ina Wenyewe, hayo sasa ni mambo ya Kale. Mheshimiwa Raisi endelea kutumbua mafisadi yaliyojificha ndani ya CCM. Kaza uzi hadi yachanganyikiwe, presha ziwapande, najua hawawezi kukufanya chochote. Rudisha CCM iwe kama ilivyokuwa imhasisiwa na Baba wa Taifa. Tunakuombea ufanikishe hili.
 
2187cf3b5b3684d37b64f516c34a8bee.jpg

Mwafaaaaaa
 
Uongo husafiri haraka dunia nzima huku Ukweli ukivaa Chupi chumbani ...Eti Nimemtuma India Kwa Matibabu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom