BAMBA TO BAMBA
Hii ni Zaidi ya Bodi mpya
BODI HALALI YA CUF YAPOKEWA MAOMBI KWA RISITI NA 14995179 BAADA KULIPIWA NMB BANK
Baada ya Kikao cha Baraza Kuu kufanya Uteuzi wa Wajumbe wa Bodi hapo Jana, na Bodi yenyewe kufanya Kikao chake cha Kuchagua Viongozi wake, leo Viongozi wa Bodi hiyo wamefikisha Maombi ya kutambuliwa na kupatiwa Cheti cha usajili wa Bodi halali ya Cuf Chama Cha Wananchi.
Kwa hivyo kile kinachoelezwa na wenzetu ni muendelezo ule wa Drip za kujipa Matumaini yale yale. Ni Kawaida yao, Maneno kama bado masaa machache, itakua Tarehe 25 mara andaeni suti, ni Maneno ya Kawaida tu. Leo wamekuja na Kauli nyingine eti BODI MPYA YA CUF YAPATA USAJILI.
Sisi tumepeleka Bodi hali sio Bodi mpya tu.
Wanachama endeleeni kufanya shughuli za Chama achaneni na marafiki wa Wauza Unga.