Recent content by Evz

  1. E

    JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unayokutana nayo unapokutana na marafiki waliofanikiwa katika maisha?

    Mimi nikikutana nao ni virungu kwenda mbele
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    ays$d$*,d,d/@caaaad,,Z@zzz
  3. E

    JamiiForums Tanzania Uhakiki wa vyeti wanikosesha kazi na wasababisha mke wangu kuniacha

    mkuu ukiwaza hizi ajira za serikali utapasuka kichwa, think outside the box ujipatie kipato ili mradi iwe halali hata ya kuvuja jasho. wataajiri tu soon mana wahanga wa ajira wapo wengi sana na huyu jamaa hajaajiri bado hata watumishi wanalia nyongeza ya mshahara toka july mpaka leo. mi nikupe...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Yale matofali ya kwenye maonesho/maadhimisho yanafaa kujengea nyumba?

    ata zile fimbo wanazopigiana ni mabua ya mahindi yaliokauka
  5. E

    JamiiForums Tanzania Yale matofali ya kwenye maonesho/maadhimisho yanafaa kujengea nyumba?

    ile misumali ilipigiliwa ncha kali zipo chini wao wamelalia kofia za misumali
  6. E

    JamiiForums Tanzania Yale matofali ya kwenye maonesho/maadhimisho yanafaa kujengea nyumba?

    mi nilishangaa tofali gani lile ukilibwaga kwenye majani linageuka mchanga, hakuna makomandoo pale ata ukipanga nae dk3 unamflotisha
  7. E

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Serengeti yahitaji zaidi ya tani 4 za chakula

    hatuna chakula cha bureeeee nendeni mkalime msisikilize maneno ya wanasiasa njaa hakuna na tuna chakula cha kutosha
  8. E

    JamiiForums Tanzania Serikali hii naichukia sana, sitaisahau mpaka kufa kwangu kwa kunisababishia kuugua kisaikolojia

    naomba uzi huu apelekewe magufuli leo hii
  9. E

    JamiiForums Tanzania Serikali hii naichukia sana, sitaisahau mpaka kufa kwangu kwa kunisababishia kuugua kisaikolojia

    sio wewe tu, wengine wamewekwa bench kila siku wanapigwa danadana ya ajira kuwa wataajiriwa, toka 2015 walimu hawa wapo mtaani wengine. wengine tunatamani kuwatukana hawa viongozi humu lakini wametutungia sheria ya kutufunga, inaumiza sana type ya viongozi tulionao mungu atawalipa hapahapa duniani.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Zoezi la uhakiki watumishi litaisha lini?

    mbona magu anaajir? wale wakurugenz si ajira?
  11. E

    JamiiForums Tanzania BAA LA NJAA NCHINI: Wananchi Kwimba wamsimamishwa Mkuu wa Mkoa wakiwa na mabua yaliyokauka

    kama anaipenda kazi yake atangaze aone kama atafika kesho
  12. E

    JamiiForums Tanzania Buriani ndugu zangu , tutaonana akhera

    nimeshangaa bado unadunda mpaka leo? kweli nimeamini ugali ni mtamu.
  13. E

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mwombe Radhi Kikwete

    sioni alichokifanya hata kimoja. gharama za maisha zipo juu sana yeye anahangaika na bombadia
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hofu inayowatesa vijana

    mitaji ni tatizo, ukiamua kuuza hata mitumba wagambo njaa wa kibongo lazima waibebe
Back
Top Bottom