kamtesh
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 1,395
- 512
Ni jambo lakusikitisha sana kuona zoezi hili linachukua muda mrefu kiasi hichi. Kuna vijana wengi wanasubiria ajira mpaka leo kimia.
Sio rais, wala mawaziri wake hawalizungumzi tena wapo kimia. Waziri mkuu alipotamka, watumishi watalipwa malimbikizo, itakua lini hakusema.
Inaonekana nikama hakuna anaye jali hali ngumu wanayo kabiliana nayo watumishi na watanzania kwa ujumla. Nivema hili zoezi likaisha na mambo mengine yakaendelea.
Haiwezekani zoe la kuhakiki watumishi wasio fika hata milioni moja, lika chukua muda wote huu. Kwa kweli nilichekesho au kiini macho kwa watanzania.
Huwezi ukaendekeza sana maendeleo pasipo kujali hali za kiuchumi za wananchi wako. Yaani serekali lazima ibalansi maendeleo ya nchi na yale ya wananchi wake.
Kuna watu wameajiliwa tangu mwezi wa sita mwaka jana, mpaka leo hawapati mishahara kwakisingizio cha uhakiki wa watumishi. Ajira zote serekalini zimesimama kwasababu ya hili zoezi lisiloisha. Naomba hiliswala serekali ilishughulikie haraka ni bomu ambalo litalipuka muda sio mrefu. Mwisho wa siku uvumilivu utatushinda wananchi wataamua kugoma kwa sababu ya hali ngumu ya maisha. Na wasilisha!