Recent content by evoddy

  1. E

    Waziri Mpango: Kasi ya ukuaji wa uchumi; Tanzania inaongoza barani Afrika

    Waziri siyo kilaza ispokuwa uelewa wako deni la taifa linapokuwa tunatazama ni kitu gani kimesababisha je ni investment au ni matumizi ya kawaida. Deni letu linakuwa kwa sababu tunajenga miundombinu kuelekea uchumi wa kati
  2. E

    Waziri Mpango: Kasi ya ukuaji wa uchumi; Tanzania inaongoza barani Afrika

    Nchi hii tumekuwa ni watu wa kutokuona jema kwa yanayofanywa na serikali. Kwanza nimpongeze waziri kwa kuja na mchanganua wa matumizi na mapato kwa kipindi hiki cha July - November ameonyesha tumepataje na tumetumiaje. Hatuwezi kushabikia kwa kutaka kupata mikopo au misaada yenye mashariti...
  3. E

    Rais Magufuli amteua Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Mkuu wa chuo kikuu siyo mtaalamu wala mtoa maamuzi kwa maendeleo ya chuo bali celemonior chance tu, VC/ Makamu mkuu wa chuo ndiyo mtendaji na mwendeshaji mkuu wa shughuli zote za chuo.
  4. E

    Ni hatari sana serikali kuendeshwa kwa hisia

    Yeyote aliyekiuka sheria lazima awajibike kwa wakati wake,kama ulijenga sehemu isiyo takiwa uondolewe tu hakuna namna
  5. E

    Mwigulu afyeka vigogo waliolamba Bilion 5.7. Sasa kupandishwa kizimbani

    Mwigulu fanya kazi yako kwa weredi hakuna haja ya kuwasikiliza hawa wapiga kelele kila kitu wanapinga. Sisi tuko nyuma yako kama watanzania tunaohitaji kuona mipango yote ya serikali inatekelezeka kwa kiwango cha juu.
  6. E

    Hatimaye ahadi zaanza kutekelezwa

    Ukiishi kwa kupinga kila kitu ipo siku utajikuta unapinga hata unapoishi kuwa siyo kwako. Hivi kuwa opposition lengo ni kutaka maendeleo au kupinga maendeleo yanayofanywa na serikali iliyoko madarakani? Je kuna ubaya gani serikali iliyoko madarakani kutekereza ahadi zake ilizozitoa kwa wanachi...
  7. E

    Poll:Unaridhika na Utendaji wa Serikali ya Magufuli?!

    100% Nakubali kuwa Rais wetu anatekeleza alichoahidi kwa wananchi. Mpaka sasa kafanya mambo makubwa ukilinganisha na kipindi alichokaa madarakani. Hatuwezi wote tukawa na fikra sawa wale wanaosema hawakubaliani waje na hoja zinazoonyesha kuwa hawajaona chochote siyo kubisha tu
  8. E

    Mbona Magufuli anaanza kama Kikwete Tena? Hii nayo Nguvu ya Soda...?

    Asiye ona alichofanya Rais wetu ,ana lake jambo kwa sababu ndani ya kipindi kifupi makuasnyo ya kodi yamepanda kutoka bilioni 900 mpaka 1.3 trioni. Ujenzi wa barabara ya mwngenge- moroko, kufanikisha kuongeza pesa za kutosha bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu,kuweka pesa za mwaka mzima...
  9. E

    Kipindi maalum cha Lowassa na Uchaguzi ITV (01 Jan, 2016)

    Acha wafu wazike wafu wao...ITV>Lowassa>CDM
  10. E

    Lowassa: Kumeibuka tabia ya kuwanyanyasa waliounga mkono upinzani

    Hatuna muda wa kupoteza sasa ni wakati wa kufanya kazi tu, hakuna cha visasi wala kuonewa kama ulikwepa kulipa kodi,ulichukua eneo la wazi,ulishindwa kuendeleza eneo ulilobinafusishwa lazima tukutafute mpaka onyooke. Hapa kazi tu.
  11. E

    Magufuli hata Heri ya Mwaka mpya tu

    Leo Rais wetu alikuwa ofisini kwake anapiga mzigo hana muda wa kupoteza.Kawaapisha makatibu wakuu na manaibu wake then akaendelea na ratiba yake ya kuchambua CV za wakuu wa wilaya na mikoa.Ongera sana Rais wetu tupo pamoja HAPA KAZI TU
  12. E

    Makatibu Wakuu Watatu kwenye Wizara Moja. Hii imekaaje!!!?

    Rais wetu anachokifanya ni kutengeneza mfumo mpya wa uwajibikaji wa serikali kwa wananchi. Ili aweze kutekereza ahadi alizotoa ni lazima awe na mfumo wajibikaji wenye kuleta tija kwa taifa. Hapa hakuna shida juu ya wingi wa makatibu wakuu 29 na naibu 21 bali ujenzi mpya wa nchi .
  13. E

    Kamati Ya PAC: Nani zaidi Kati ya Zitto na Kubenea?

    Utaratibu wa kuwapata wenyeviti wa kamati upo vipi wanachaguliwa na wabunge au ofisi ya spika ndiyo inayoteua. Nafahamu kamati za PAC na ile ya serikali za mitaa lazima ziongozwe na wenyeviti kutoka upinzani ,je !wanapatikana vipi?
  14. E

    Kubenea apandishwa Mahakamani leo

    Tatizo huyu dogo anadhani JPM anafurahia huu upuuzi wake.Kwa nini asijifunze kesi ambazo mara tu baada ya JPM kuingia madarakani serikali imeshindwa mahakamani ni kwa sababu gani. Rais hataki uonezi wowote sasa huyu DC lazima aliwe kichwa maana uwezo wake ni mudogo sana kufikiria ni wakati gani...
  15. E

    TAMISEMI kuwa chini ya Ofisi ya Rais, nini nguvu na mamlaka za Serikali za Mitaa??

    Naomba nikuulize swali Je! Halimashauri ya Moshi, Karatu ,Hai zilikuwa zinaongozwa na chama gani na je ufanisi wake ni upi kwa kipindi cha miaaka mitano iliyopita?
Back
Top Bottom