Magufuli hata Heri ya Mwaka mpya tu

WENYELE

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,426
1,431
Rais na kipenzi cha Wanyonge Tanzania,anaonekana ni kauzu sana mambo madogo madogo hata huwa hayawazi.Mwaka umeisha na mwingine unaanza sjaona rais wetu kutoa salam za kufunga ama kufungua mwaka.
Dah...watoto wa mama tuliozoea kudekezwa tunamiss salam zako
 
HapaKaziTu...kaangalie itv ujikumbushe kuzungusha mikono hewani...
 
S
Rais na kipenzi cha Wanyonge Tanzania,anaonekana ni kauzu sana mambo madogo madogo hata huwa hayawazi.Mwaka umeisha na mwingine unaanza sjaona rais wetu kutoa salam za kufunga ama kufungua mwaka.
Dah...watoto wa mama tuliozoea kudekezwa tunamiss salam zako
Nimejiuliza hili swali hata mimi baada ya kumuona Kagame akitoa salam kama hizo kwa watu wake na nikakumbuka hata Mkapa na Jk pia walikuwa wakifanya hivyo ila naona JPM alipotoa salam za Christmas na kuchomekea za mwaka mpya kumbe ndio alikuwa amemaliza mchezo!!

Anyway,labda ni katika kubana matumizi!!
 
ww ndio kauzu
mambo madogomadogo ya kucheka mbele ya TV puluktni kwnu
hapa ni kazi tu
kwanza mlitakiwa siku jm ya leo kusiwe na mapumziko
kila tu akafanye usafi kwake hasa kwa wasio na choo mko wengi
choo na mwaka mpya vinaendana kuliko kurembua na salamu za mwaka mpya
 
Leo Rais wetu alikuwa ofisini kwake anapiga mzigo hana muda wa kupoteza.Kawaapisha makatibu wakuu na manaibu wake then akaendelea na ratiba yake ya kuchambua CV za wakuu wa wilaya na mikoa.Ongera sana Rais wetu tupo pamoja HAPA KAZI TU
 
hata aliyekuwa rais wa Zanzibar ndugu Shein katoa salam za mwaka mpya.


JPM kazi zilimbana hakukumbuka kama kuna mwaka mpya.
 
Tafuta mama ntilie hapo mbagala likudekeze na kukutakia mwaka mpya. Zungushaaaa
 
Eti kipenzi cha wanyonge!!!!, angwabomolea nyumba bila kujali watalala wapi??? Magufuli john pombe josefu ni kipenzi wa CCM na NEC
 
Back
Top Bottom