Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Hello, it seems kipindi kimesitishwa unceremoniously while on air (gear imebadilishwa angani). Kimechukua hardly dakika 10, and it was inconclusive. Inaelekea kuna amri imetolewa kusitisha kipidi husika. TV watujuze.Ki ukweli sijaelewa mantiki ya kipindi hiki kwani kimelenga kuzungumzia mchakato mzima wa uchaguzi kwa Lowasa hadi kupiga kura na matokeo.
My take:
Nazikubali busara za lowasa ila kwasasa ningemshauri atulie tu.