Recent content by evocom

  1. evocom

    JamiiForums Tanzania Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Ivyo kwa kigezo cha nchi kuanziabmwaka 1948 ilipoanzishwa ni kweli wamepiga hatua kubwa. Ila kwa kigezo cha Maandiko utakuwa unakksea na kubagua kabila nyingine kwenye 12 izo. Maana sio kabila zote za Israel ziliishi kwenye Israel ya leo kama nchi. Mfano: kabila la Gad waliishi Jordan...
  2. evocom

    JamiiForums Tanzania Israeli - Imekuwa Taifa lenye nguvu kubwa sawasawa na jinsi Mungu alivyoahidi

    Jews and Israel are related but distinct concepts: Jews: A religious and ethnic group with a shared history, culture, and faith (Judaism). Jews can be from various countries and have different nationalities. Israel: A country located in the Middle East, home to a majority of Jewish people...
  3. evocom

    JamiiForums Tanzania Kuna degree za online accredited Marekani ni bure kabisa usikae kizembe

    Taarifa izi ni nzuri sana. Tatizo sisi wabongo ubishi mwingi, ujuaji kibao. Umeeleza vzr kuwa utachosoma hakikisha kiko sawa na maksi za ufaulu utaotumia, iwe Wa form 4 au 6. Pili: sio lazima ufanye kazi bongo( ili linahitaji sana elimu) ivi vyeti vinatumika kwa hao hao wanaotoa izo elimu...
  4. evocom

    JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Hii mwansmke akinywaa si itakuwa balaa kuja kumaliza/kukoj.....
  5. evocom

    JamiiForums Tanzania Mimea tiba kupitia mimea ya majumbani

    Asante kwa kazi kubwa hii
  6. evocom

    JamiiForums Tanzania Moja ya sababu za Foreigners kulisha Hoteli za kitalii Matunda na Mboga mboga ni kwa sababu ya ujinga wa sisi Watanzania hakuna sababu nyingine.

    Uko Sahihi kwa mtizamo. Ila nakufahamisha kuwa biashara ya Utalii bila Mzungu huwezi kutoboa. Hakuna mwafrika mwenye uwezo wa kushawishi mtalii au biashara ya Utalii bila mgongo wa Mzungu. Ivyo kama wazungu wataweza miliki kwa sana basi nasi tutaokota hapo. Utalii bila Mzungu, Mtz hawezi
  7. evocom

    JamiiForums Tanzania Wakristo tunashambuliwa, tujitetee!

    Nahisi sio sawa kusema Wakristo, kwani kila mtu bila kujalisha dini yake anaweza kupatwa na lolote, na isitoshe walionyuma ya yote hayo ni wakristo,.Kikubwa ni kusema watanzania kwa pamoja, kwani kuanza kutetea mtu kwa kujinasibisha na dini ni mbaya zaidi. Tuache mambo ya udini bali tupange...
  8. evocom

    JamiiForums Tanzania Wahaya hawastahili kupewa madaraka makubwa

    Aisee Bora alitoka kumbe. Kwa sasa katibu Mkuu anafanya vzr sana husikii changamoto izo tena za Bashiru.
  9. evocom

    JamiiForums Tanzania Kuna njia nyingine ya kupunguza uzito?

    1. Punguza kiwango Cha chakula ila usikae njaa. 2. Usiende gym Bali uwe unakimbia mara kwa mara hasa kwenye mpando angalau mara 3 kwa week asubuh na jioni. 3. Danganya mwili yaani ukiweza uwe unakula matunda, mboga za majani nyingi kabla ya chakula - yaani wakati wa kula uwe na sehem ya matunda...
  10. evocom

    JamiiForums Tanzania Hivi kampuni kongwe inayomilikiwa na Mtanzania (mweusi) ni ipi? Ina miaka mingapi?

    Sababu za zingine 1. Mtanzania mweusi, hatuna roho ya uvumilivu,tunahitaji faida kubwa kwa uwekezaji mdogo. 2.Siri za biashara kutojulikana kifamilia yaani mzee atakuwa na biashara ambayo mke,watoto,ndugu hawaijui na hawajui kiasi Cha frdha mtaji na masoko vikoje,ndo maana akifa na biashara...
  11. evocom

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wanaofanikiwa kupita katika usaili wa ajira wachukue barua mikoa waliofanyia usaili na si Dodoma

    Hapana ndugu. Kwenye kutuma maombi njia ya email(online) ndo inatumika. Ivyo Kila anaye apply ana email. Na majibu yakitoka inajulikana,ivyo ni Bora iwe email kwani kwa email ni rahisi mtu kwenda internet Cafe kwa garama ata ya elfu10 pamoja na kuprint. Ila kufata Dodoma mtu anaweza tumia zaidi...
  12. evocom

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayotokea Goma, ni dhahiri vyombo vya dola vinatakiwa kuwa makini zaidi kudhibiti wahamiaji haramu mipakani

    Kulinda mipaka na kuwa na taarifa sahihi kwa wanaoingia nchini ndo Kila kitu. Isije fika mda Hali ikawa mbaya na akaja kiongozi ambaye atahitaji wazamiaji halamu kurudi kwao akaonekana mbaya kama Trump. Ivyo tuige kwa Trump, kwa sasa anaangaika kuwatoa waliozamia kwake bila taarifa kamili na...
  13. evocom

    JamiiForums Tanzania Maswali yaliyokosa majibu ndani ya malumbano ya hoja ITV leo 6/2/25

    Bei zake hasa kwa nchi ya India yenye bei nafuu inaweza gharimu kiasi gani kwa dozi.( Pia dozi yake ikoje -- kwa uelewa zaidi) Asante
  14. evocom

    JamiiForums Tanzania Maswali yaliyokosa majibu ndani ya malumbano ya hoja ITV leo 6/2/25

    Habari za usiku huu. Nimeangalia Malumbano ya hoja ITV kuhusu kusitishwa kwa USAid na haya ni maswali Yaliyokosa Majibu ivyo mwenge kujua na asaidie majibu. 1. Ikiwa mtu atahitaji/watanzania wanahitaji kujua izo dawa zikiuzwa zitauzwa kwa bei gani? Au ni sh.ngapi kwa dozi? 2. Eti dawa...
Back
Top Bottom