Recent content by evlyin

  1. E

    Kajala: Nampenda sana Wema, ila bado ana chuki na mimi

    Kosa moja halifanyi mawili kuwa sawa kwa busara na hekima Wema hakutakiwa kuyaongelea chochote kuhusu Kajala, na msamaha na kurudi kama zamani ni vitu viwili tofauti anaweza kumsamehe na kila mtu akaendelea na maisha yake kwa kifupi mambo mengine aliyokuwa anaongea Wema jana hayana point
  2. E

    Kajala: Nampenda sana Wema, ila bado ana chuki na mimi

    Kwnn asingemuomba msamaha kwa kumface anamuogopa ama? ??? Msamaha wa kutoka rohoni angemfata ndio ungekuwa na nguvu inst ni kutaka kujionyesha na kujitilisha huruma kwenye mitandao tangu lini mtu akaomba msamaha kwa msg.
  3. E

    Le Mutuz apinga ushindi wa King Kiba dhidi ya Chibu

    Ni kweli halafu wamepambanisha anayependwa sio anayeimba sana au mwenye nyimbo nzuri hapo ni mambo mawili tofauti. Na Diamond amepoteza mashabiki wengi alivyomuacha Wema
  4. E

    Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Jibu watakuwa nalo wenyewe. Mi nadhani Wema alichelewa kujitambua alilewa umaarufu akijua kwamba wanaume wengi wanammendea kumbe wanasafisha nyota tuuu ila sasa hivi anaonekana kichwa inatulia
  5. E

    Audio: BBC wafanya Interview na Diamond kwa kiingereza

    Amejitahidi lkn ni tution ya Wema sio Zali hata hicho kiingereza alichomtongozea zali ni tution ya Wema, Wema kamtoa mbali huyu jamaa halafu matunda wanakula wengine lol!
  6. E

    Yuko wapi Jumanne Iddi

    Kweli kabisa juhudi zake ndio zingemfikisha mbali mbona wenzake walioshiriki wanaendelea. BSS si pakutokea tu then unaendeleza juhudi mwenyewe yy atakuwa alikuwa anashindania gari.
  7. E

    Diamond ft P Square soon to be released

    Mmmh napita tu mie
  8. E

    Nawewe malizia

    Akiona wanawake anawalazimiaha kuwapa lift
  9. E

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mwathirika wa mapenzi kila anayempata anamwacha
  10. E

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Chekecha chekecha cheketour hahaha tunakimbiza mbaya
  11. E

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mapeeema leo hii mwanamke kazaa chura magu
  12. E

    Mchawi utamjua tu

    Yaaani sijalala namlizia story lol! Umeniweza
  13. E

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Jamani mi ndio nalala usiku mwema kesho tena
  14. E

    Mwanamke Anaweza Kunyanyua Ndoo Ndogo ya Maji kwa Uke wake

    Haswaa ashaharibu utamu wote, naona kuna watu hawalali wanawaza wafanye nini cha kustaajabisha ulimwengu. Wathungu bwana ni shiiidar
Back
Top Bottom