Nawewe malizia

Nawewe malizia

Akishuka kidogo atarusharusha funguo kila mtu aione
 
Akikaa sehem na watu atajifanya anajua magari balaa, utaskia hii gari yako ni auto au manual? Ila tatizo iko chini sana hukawii kugonga sampo
 
ZIFUTAZO NI DALILI ZA MTU AMBAYE
ANAENDESHA GARI YA KUAZIMA (SIO YAKE)
1 Anaendesha kwa speed misele misele
kibaoooo.
2 Anashika stelingi na mkono mmoja
mwingine nje ya mlango
3 Kumsalimia kila anayepishana naye hata
kama hamjuii
4 Kwenda na gari kwenye harusi halafu
anaipark vibaya ili atangazwe(mwenye gari
namba …..akatoe gari yake)
5 Kutoa kichwa hadi kifua nje wakati wa
kurud nyuma wakati side mirrors zipo
6 …………….. 7……………… 8………………
9……………… NA WEWE JAZILIZIA ZINGINE

Akimaliza misele yake analirudisha kwa mwenye nalo
 
Kila akiona dem lazima Amsalimie na amuulize anaenda wap
 
Mlimani anashuka halafu anasukuma gari ipande mlima.
 
Akiwa kapaki gari umbali kidogo haachi kuchezesha funguo, mara azirushe rushe yaani ili mradi tu shida
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom