Diamond ft P Square soon to be released

Diamond ft P Square soon to be released

Ameanza nyodo, angalia usije wadharau kama ulivyofanya kwa davido aliyekutoa
 
Na hii ndio tofauti ya NEMBO YA TAIFA na yule wanayemlazimishia bifu wakati wenyewe ni full amani tu
 
Yule ninja wa kuruka ukuta atakonda safari hi atavunja matikiti coz nazi zimepanda bei!
 
Huyo ndio Nassib bwanah!hutaki unaacha!!!watakunywa mwarobaini mpaka watapike asali ahahaahahaaaaa!!

Halafu wangejua wangekaa tu kimya wakampuuza lakini hivi wanavyojifanya kuungana na makundi yao ya kinafiki ndio wanazidi kumpandisha hasira kwenye kichwa chake!!anawarushia makombora barabara na yanawatandika vizuri sana!

Ile ndio Icon ya TZ banahNampenda kufaaaaa na sitobadili msimamo milele.l

hahaaaaaaaaaaaaaaaa unanikoshaaaaaaaaaaa
 
Bado kuna ft mbili hazijaachiwa pia
Ft Mafikizolo
Na ft Fally Ipupa

Na wapo kwenye hatua za mwisho kukubaliana kufanya ft na kichwa kimoja kinasumbua sana Usa kwa sasa

Hard work pays
Kijana anajua kutumia fursa
 
tena bado kolabo na Usher raymond.....mtaxema tena kuna mbongo alisha fanyanae kolabo.....
 
Back
Top Bottom