Recent content by Evana

  1. E

    JamiiForums Tanzania Kuiga biashara ya mwenzio ruksa ila kuwa na adabu usipitilize hasa kina dada

    Hizi ni mentality mbaya za kishamba. Hebu angalia wafanyabiasha wakubwa jinsi wanavyofanya na wanazidi kukua kila siku. Mo wanacopy almost bidhaa zote za azam lakini sijawahi kusikia azam wakilalamika! Jambo wanazalisha exactly bidhaa wanazozalisha Azam na bado wanatumia Azam TV kutangaza...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

    Ni kawaida kabisa hasa kwa mabinti wenye miili mikubwa, binti yangu alivunja ungo akiwa na miaka 11 darasa la tano. Huu ndo muda wa kuongea nae kweli kweli tena kwa kutumia mafundisho ya dini. Kama ni mkristo mwambie mwili wake ni hekaalu la Roho Mtakatifu. Pia tumia maandiko kutoka 1Wakorinto...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Fursa za Nje ya Nchi: Scholarship (kusoma), Ajira/kujiajirina Biashara/kuwekeza

    Hiyo 1m ni kwa ajili ya nini?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Umewahi kwenda kwa mganga wa kienyeji "Mtaalamu"? Ilikuwaje?

    Huu sio uganga bali ni tiba asili
  5. E

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Mada maalum ya kumuenzi Munga Tehnan na kazi zake

    Haya magazeti yalinijenga sana psychologically ingawa nilikua primary. Story 2 sitakaa nizisahau, moja ya yule kijana aliepoteza wazazi wake kwenye ajali yy akapona ila akabaki na alama usoni... Nyingine kijana ambae kila anachokiwaza kinatokea mf alikua anamchukia mdogo wake maana alipendwa...
  6. E

    JamiiForums Tanzania My Corona relief trip and lessons therefrom

  7. E

    JamiiForums Tanzania My Corona relief trip and lessons therefrom

    Ndio mkuu nmekupata vizuri sana nashukuru. Naona think will be my trip next year Mungu akipenda
  8. E

    JamiiForums Tanzania My Corona relief trip and lessons therefrom

    Sorry naomba unijibu kama hutojali. Inagharimu kama kiasi gani kwa kila kitu kuanzia usafiri, accomodation etc
  9. E

    JamiiForums Tanzania Watu wa Musoma tukumbushane stori za Musoma kuanzia 2000-2010

    Duka la kijanja kabisa ni kwa Maira complex
  10. E

    JamiiForums Tanzania Safari ya Kwenda Mayotte: Mjuzi wa Kifaransa anahitajika

    Jifunze kupitia duolingo hutahitaji mwalimu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Vinyago/midoli vina roho

    This is so true. Mama angu alimwa sana ugonjwa usiojulikana yan kila mtu alijua anakufa tulihangaika hospitali lakini wapi akaanza kuwa kama anapagawa na mapepo au anachanganyikiwa hivi. Sasa akaja mchungaji kumuombea aakamuombea sana na badae akafanya maombi nyumba mzima. Pale home kulikua na...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Mke wa marehemu Filikunjombe agoma kwenda kwa wajane wa Makonda, adai alienda kabla na hakusaidiwa

    Pen Pension gani wakat mumewe alifariki wakati wa kampeni
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nimechoka sana na maisha

    My dear, haijalishi ulifanya kosa gani, yote Mungu anasamehe kumbuka hata waliomuua Yesu walisamehewa. Tubu na jisamehe, Mungu awakubali wakosa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Kabrasha chumba cha kunyongea

    😂😂😂😂 ww sio wa kawaida
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kabrasha chumba cha kunyongea

    Naogopa hicho kifo kibaya cha adhabu. Namuomba Mungu nife peaceful nikiwa nmezungukwa na wapendwa wangu
Back
Top Bottom