Recent content by evab

  1. E

    JamiiForums Tanzania Nalia nikimaliza kufanya mapenzi

    Hahaaaa tosh we noumah!
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa meditation

    Kuona spirit kivip..hivyo n vitendo vya kishetani!mtamuabudu shetani bila kujua wala kupenda..meditation ni Imani wewe mwalimu usibishe na ni ibada ya kishetani!I hate this!mnafundisha watu kumwabudu shetani mshindwe kwa jina la yesu!
  3. E

    JamiiForums Tanzania WASIWASI: Dawa aina ya PANADOL inaua?

    Wakati unasubiri kupata vithibitisho jaribu kunywa panadol na coca ----- wee
  4. E

    JamiiForums Tanzania Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Hapo sasa....hata mie nimestaajabu sana!
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

    Very true...naongea Kwa experience wakaka warefu hovyo sana kitabia
  6. E

    JamiiForums Tanzania Pedeshee maarufu kumuoa mtangazaji wa kiume

    Kumbe benadertha ana mtoto?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

    Hongera its a very big step ahead
  8. E

    JamiiForums Tanzania Jina la Diamond laandikwa kwenye Hollywood Walk of Fame

    Pale hajagombea kawa nominated kwani ni ubunge ule kusema katumia effort zake kupata nafasi ya kuwa nominee?watz tujifunze kusupportiana...alaaah!
  9. E

    JamiiForums Tanzania Seven facts in this world

    Hahaaaaaa you have got me!
  10. E

    JamiiForums Tanzania Mmh jamani mke wangu ...

    Ipo weight gain programme.ni pm ntakuelekeza
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mmh jamani mke wangu ...

    Hahaaaaaaaa analeta maskhara eti majangili wanaweza hisi kuwa ni mali imekatiza yan tembo.
  12. E

    JamiiForums Tanzania Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    He!nimekushangaa sn aisee uko timamu kweli!!!!hayo maneno yanaweza yasiwe na ukweli wowote marafiki wabaya sn hasa ss wanawake naongea kwa experience!nakuomba ziba maskio endelea kukumbatia familia yako shetani cku zote hapendi vitu vizur km furaha aman na upendo ndo maana huinua wajumbe wake...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Hahahaaaaa nmekusomaaa
  14. E

    JamiiForums Tanzania Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Cjakusoma mkuu
  15. E

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mpenzi mpya wa Penny

    Waziri wa talaka rejea.
Back
Top Bottom