Mmh jamani mke wangu ...

Mmh jamani mke wangu ...

Nadhani kila mtu huvutiwa na kitu chake kwa mvulana ama msichana huwezi ww kuoa/kuolewa na mtu usiempenda alimuradi nawe uonekane uko katika ndoa . Ujuwe mtaishi bila ya mapenzi na ndoa itavunjika na mtu humpenda mtu kwa muonekano wake nami nimempenda vile alivyo kua mwanzo na sio hivi kwa kua wanawake wengi hawazingatii haya ndio ikawa wanaume wanachepuka sana na kujenga nyumba ndogo kama utapeleleza wana ndoa wengi ndio wanaosaliti ndoa zao kuliko wapenziSent from my HTC Desire S using JamiiForums mobile app
Wewe nawe umeamini katika mchepuko Sasa unataka kuuhalalisha its a shame!! Mazao yanafanana sema shamba tu tofauti BAKI NJIA KUU
 
Ah dunia haina wema! Umzalishe wewe, anenepe kwa misosi unayoinunua mwenyewe ambayo anaihitaji sana ili aweze kunyonyesha wanao wewe, kisha umchukie!! *****!!
 
Umenishangaza ulivyosema ulikuwa unabana mpaka budget ya chakula! Huyu mwanamke hakuwa ana nyonyesha? Duh sipati picha ubaniwe mpaka msosi ndo umejifungua na una nyonyesha.
Mi nadhani kupungua uzito should be her personal choice if she is uncomfortable with the way she looks and not yours. Wewe unaweza mshauri but thats it. Akikatika mguu leo God forbid utauotesha mwingine? Love her the way she is
 
Nimeweka post hio muda mrefu na wengine wamenitafuta na dawa wamechukua hadi sasa ivi wananipa feedback yakua dawa pamoja namzoezi kidogo vinawasaidi sana...
 
Ukishaamua nitafute kwa Voda niliyoweka hapo juu kwenye post yangu yakwanza au tumia tigo 0657389737...I am willing to help
 
Haya ndiyo matatizo ya kukimbilia kuoa kabra ya wakati. jinga sana wewe
 
Badilishana na mtoa mada.

ndo maana wanawake wa kidhungu wakiolewa wanakataa kuzaa.
Mimi napenda mke wangu anenepeane imeshindikana kwa namna yoyote!
Nampatia kila kitu nionacho chaweza kumsaidia lakini wapi,
Nakushangaa unavyolalamika.
 
that's nature mwanaume ukatae ukubali asilimia 99.9 ya wanawake wakijifungua hunenepa sana!
 
Inawezekana usikate tamaa
 

Attachments

  • 1402726105872.jpg
    1402726105872.jpg
    12.2 KB · Views: 150
Matapeli wa mjini washaona fursa. Utakamuliwa ela na mkeo atazidi kunenepa...
 
Kwani wakat unamuoa hukujua kunasiku atanenepa?watu wengine!!
 
Habari wana bodi.

Natumai hamjambo?

Naomba munisaidie mi nimeowa toka mwaka 2007 mke wangu alikua mwembamba ( kibasmati ) yaaani sio siri nampenda hadi kesho tatizo ni kua baada ya kujifungua mtoto wa kwanza mwaka 2009 alinenepa kiasi sikichukia sana ila nilimuambia sipendi awe mnene mambo yamezidi mara kumi alipojifungua mtoto wa 2 kawa kibonge mbuno huo tumbo limeengezeka balaa yaani hadi sijui nimfanyeje?

Mwanzoni nilikua nampangia malaji na naibana bajeti ya kula wakati tuko na mtoto 1 tena mchanga ila siku hizi siwezi maana nikibana bajeti nitaumiza watoto.

Nimemueleza kua ajipangie utaratibu na mpangilio wa vyakula lakini wapi hanielewi anaishia kuniambia kua hata alipokua mdogo alikua mnene sana alipungua alipokua mwari.

Mi kwa kweli sipendi mwanamke mnene nifanyeje?

Zipo diets nzuri tu ambazo anaweza kuanza na kuzifuatilia hatimaye akapunguza kabisa uzito cha muhimu asifanye wakati ananyonyesha maana mtoto hatapata maziwa ya kutosha na utamuumiza mkeo maana diet na kunyonyesha vitu viwili tofauti. Cha msingi mpe moyo maana ninyi wanaume mna vijimaneno vyenu vinakatisha tamaa wakati mwingine. Anaweza kwa kupunguza kula sana vyakula vyenye wanga na akawa anakula zaidi mboga (zilizopikwa na salad) na matunda zaidi kwenye mlo wake.
 
Umenishangaza ulivyosema ulikuwa unabana mpaka budget ya chakula! Huyu mwanamke hakuwa ana nyonyesha? Duh sipati picha ubaniwe mpaka msosi ndo umejifungua na una nyonyesha.
Mi nadhani kupungua uzito should be her personal choice if she is uncomfortable with the way she looks and not yours. Wewe unaweza mshauri but thats it. Akikatika mguu leo God forbid utauotesha mwingine? Love her the way she is

Mbona rahisi: mpige vijembe ambavyo si vya moja kwa moja kuhusiana na huo unene. Ukiwa nae SIFIA SANA wadada vimodo! Eidha wa kwenye Tv au wale awajuao! Ataona kawivu fulani. Atapunguza unene kwa eidha mazoezi au kutafuta njia yoyote ili mradi apungue!
NOTE: iwe njia sahihi.
 
Back
Top Bottom