Recent content by eva lyimo

  1. E

    JamiiForums Tanzania Demu wangu wa zamani ananishauri nioe beki 3 wake

    Jamani mnafurahisha sana
  2. E

    JamiiForums Tanzania Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

    Watu hamnaga mambo ya maana yakufimiria? Mpaka mnaboa
  3. E

    JamiiForums Tanzania Nataka niachane nae kwa amani, nifanyeje?

    Kaa chini tafakari, unamuacha mwenzako bila sababu ya msingi, kama ingekua wewe mtu ndo anakuacha bila sababu ungejisikiaje?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Masanja adai anampenda Monica mpaka wanawake wengine anawaona ni wavulana

    Mimi nasikiaga raha jameni nikiingiaga humu ndani, mapenz bwana hatari sana, mtu anakubadilikia, unabaki huamini kama ni kweli unahisi tu ndoto
  5. E

    JamiiForums Tanzania Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Baada ya kushirikiana nae mipango mingi ya maendeleo, mwisho wa siku anadai hatuwezi kuoana Labda tuzae, baada ya muda nagundua yupo na wasichana wengine kwenywe mahusiano, nakua mkali anadai basi tuwe rafiki wa kawaida ila tusiwe wapenzi
  6. E

    JamiiForums Tanzania Neno la kukutia nguvu- never give up

    Amina
  7. E

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Dr.mimi Naomba kujua kama hospital hua kunadawa ya kutibu boasili, na nini mazara yake isipotibiwa, maana madakitari wa miti shamba wanatumalizia pesa zetu bila mafanikio
  8. E

    JamiiForums Tanzania Why me? Kila mahusiano napitia magumu

    Kwa kweli watu kama nyie mnaotoa ushauri wa busara kama huu ndo mnatakiwa humu, Mungu akubariki kwa hekima zako
  9. E

    JamiiForums Tanzania Why me? Kila mahusiano napitia magumu

    Kwakwel hauko peke yako ktk swala kama hili, Na mshangaa mungu mimi leo nilikua kanisan lakini moyo ulikua unaniuma sana machozi yakawa yananitoka mwanzo wa ibada hadi mwisho wa ibada, Yaani hata nikiwa napita barabarani nahisi machozi na siwezi kuvumilia, moyo wangu ukiwa unaniuma sana na...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tujulishane tabia za wachaga

    Mbona mimi, ni Mchaga na mpenzi wangu akiwa na tatizo tena la kifeza mimi ndo wakwanza kumsaidia, tafazali msituchafulie kabila
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tujulishane tabia za wachaga

    Mke mwema anatoka kwa bwana, swala si kabila, la muhimu unampenda nani?
Back
Top Bottom