Nataka niachane nae kwa amani, nifanyeje?

Nataka niachane nae kwa amani, nifanyeje?

Sasa hivi nahitaji kuanza maisha mapya ila kuna binti nilikuwa kwenye mahusiano nae kwa zaidi ya mwaka sasa, bado ananipenda na anatarajia nitamuoa na anamatatizo ya Moyo, na kila nikitafuta namna ya kuachana nae nashindwa! Nitumie njia gani ili pia nisimuumize.
Najua hauna hisia tena na huyu mtu kwa sbb uzijuazo ww.
Siwezi kukulazimisha uwe naye sabb moyo wako upo mbali naye na hauna hisia za kimapenzi.
Kumbuka huyu anaugonjwa wa moyo, kwahiyo ukimuacha ghafla unaweza kumsababishia matatizo mengine hata kifo.
Anza kupunguza mawasiliano taratibu na mazoea. Akikuuliza mbona umebadilika sana, mwambie kazi zinabana sana. Uwe mtu wa visingizio sana.
Yy mwenyew atagive up.
CHONDE CHONDE USITAFUTE MWANAMKE WA KUMUONYESHEA ILI AKUACHE. UTAMUUA KBSA
 
Kwasasa hatupo pamoja mimi nipo mkoa mwingine na yeye mkoa mwingine! tunawasiliana tuu kwa njia ya simu!
Sa hapo ugumu wa kumuacha uko wapi?
Tafuta kakasoro tu, mwambie hamuwezi kua pamoja kwa sababu hiyo.
 
Sasa hivi nahitaji kuanza maisha mapya ila kuna binti nilikuwa kwenye mahusiano nae kwa zaidi ya mwaka sasa, bado ananipenda na anatarajia nitamuoa na anamatatizo ya Moyo, na kila nikitafuta namna ya kuachana nae nashindwa! Nitumie njia gani ili pia nisimuumize.
Kwa nini asiwe sehemu ya maisha mapya? Kama alikuwa girlfriend tu mvishe pete, ingia kanisani anza naye maisha mapya ya ndoa, huo ndio uanaume
 
Utakuta nae anawaza namna ya kukuacha.....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] of course aisee unaeza kuta uyo msichanaanawaza jinsi ya kumuacha jamaa ili asimuumize jamaa
 
Na wewe ukipata matatizo kama hayo,upo tayari kuachwa?
 
Sasa hivi nahitaji kuanza maisha mapya ila kuna binti nilikuwa kwenye mahusiano nae kwa zaidi ya mwaka sasa, bado ananipenda na anatarajia nitamuoa na anamatatizo ya Moyo, na kila nikitafuta namna ya kuachana nae nashindwa! Nitumie njia gani ili pia nisimuumize.
We Mkatili sana,matatzo yapo kwa kila bnadamu kwann umkimbie mwenzio?
 
Kaa chini tafakari, unamuacha mwenzako bila sababu ya msingi, kama ingekua wewe mtu ndo anakuacha bila sababu ungejisikiaje?
 
Tell her una HIV ...af muulize kama yuko ready kustay with yah katka hali hiyoo akisema noo pale pale unaaga then unamtakia maisha mema kiunyonge huku unajifanya bado unampenda sema ukimwi ndo unawa tenganisha
Over
 
Back
Top Bottom