Nimekuta mjadala mahali fulani juu ya nchi inayoitwa Wadiya. Nimejaribu kufuatilia katika vyanzo mbalimbali mitandaoni, baadhi vinaitaja Wadiya kama Eritrea ya sasa na vyanzo vingine vinaitaja kama nchi ya kufikirika tu.
Kwa wenye ufahamu juu ya jambo hili, ukweli hasa ni upi juu ya nchi ya...
Hiki ni kipindi ambapo Rais anahitaji utulivu wa hali ya juu ili kupata mtu bora atakayeweza kusimamia wizara hii kikamilifu. Vilevile naunga mkono wazo la kuwa na wizara mbili kutoka ktk wizara ya nishati na madini ili kuongeza ufanisi na kuzingatia umuhimu na uhitaji wa nishati bora hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.