Recent content by Eugeniafaith

  1. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Meaning kila mtumishi ataongrzewa 62,910
  2. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kubana kifua

  3. E

    JamiiForums Tanzania Uliza Chochote kuhusu kumiliki Ardhi Tanzania

    naomba kufahamishwa taratibu za kupata hati na gharama yake, nilinunua kiwanja chenye ofa nimejenga tayari,
  4. E

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na gharama za kupata hatimiliki ya nyumba/kiwanja

    na kiwanja nimeuziwa kina Offer na kimepimwa,kimewekewa becoans.Sasa hakina hati,nimeshajenga na ninaishi nataka kuuliza mchakato wake upoje nipate hati? gharama ni kiasi gani?
  5. E

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    freezer ni juu au chini?
  6. E

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Utumishi wamefanyia kazi maoni ya MwanaJamiiForums kuhusu upatikanaji wa salary slip online

    haitoi tena taarifa ya mtumishi labda majaribio yamekwisha muda?
  7. E

    JamiiForums Tanzania Madaktari kufanya Operesheni ya kumkata mtu kichwa na kumuwekea mwili mwingine

    kuna report kuwa south africa wameshafanya hii operation Johannesburg, South Africa — A 36-year-old man has undergone the world’s first successful head transplant. The ground-breaking operation took a team of surgeons nineteen hours to complete and has allowed the patient to be cancer-free.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Utapeli wa namba za mawakala wa kutoa pesa

    nadhani voda wametoa majibu rahisi,na haraka,ina maana hawana uwezo wa kumdhibiti mteja na wakala wa m pesa?ikibidi hata kumfungia asitumie huduma yao?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Spanish tiles Bei nafuu

    ndugu iyo simu haipatikani?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Artery kuwa Fupi kuliko Vein kwenye Moyo

    inawezekana wakawa sahihi rudi nae wote mpate maelezo sahis matatizo mengine ya moyo hayatibiki sababu ya aina ya ugojwa ,hatua ulipofikia,na muda mgojwa ametafuta hudua,pengine amechelewa san hivyo husaidia awe na nafuu kwa dawa kila siku bado nakushauri rudi nae,kama ameshafika hapo atakuwa...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Artery kuwa Fupi kuliko Vein kwenye Moyo

    ndugu pole mlete muhimbili taasisi ya moyo ya jakaya kikwete utapata ufumbuzi wa maswali yako na tatizo la mgojwa na nini kifanyike muda gani na kwa sababu zip
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ni kosa kubwa daktari kuwa Mkurugenzi wa Hospitali

    good observation watanzania wangapi wa kawaida wamenunua nyumba huko?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kutafuna mchele mbichi/udongo

    Mara nyingi watafuna mchele wana upungufu mkubwa wa madini ya chuma(iron),,huwa upungufu wa dam Ukienda hospitali ukafanyiwa uchunguzi utadhihirishiwa hil Madhara ni damu huendelea kuwa ndogo na hamu ya kutafuna huongezeka jinsi madini ya iron yanavyogungu Mtumiami pia anaweza akawa na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Wanandoa: Upangaji wa nguo chumbani

    Nimecheka sana lo Nadhani bora kununua sox zinazofanana pair nying Ushauri wa kuweka mbili pamoja ni mzur Ni vema kuwa na kabati lenye droo au chest droo Humo sox,boxer,underpants,bra kila kimoja kwenye droo yake na kila mtu na yak Ushauri wa kugawa visizotumika ni mzuri sana katika...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimegundulika kuwa na High Blood Pressure. Je, nifanyeje kuhimili hali hii?

    Domy Nenda hospital Utapewa ushauri na vipimo muhimu kufahamu pressure kubwa imeathiri vipi viungo vya muhimu mwilini mwako matibabu ni dawa,mazoezi na kuzingatia masharti ya chakula bora(wanga kidogo,mboga mboga kwa wingi,matunda kwa wingi na kupunguza mafuta na chumvi ktk chakula,punguza...
Back
Top Bottom