Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
NI KWELI IMENITOKEA MIMI JIONI YA LEO JANA TAREHE 30/5/2016.
Jamani, utapeli umekua mkubwa sasa hivi, mimi nimetapeliwa leo shilingi 50,000 jioni hii, ilikua hivi, nimefika kwa wakala wa M-PESA nikaomba kutoa pesa, kisha nikafanya muamala kama kawaida na kusubiri muhusika anipe pesa, nikaona kimya ikabid inimuulize hujapata msg? Akanijibu hapana!
Roho ikafanya paaaaaa! Nikamwambia kwani jina la wakala si ni D T RUVUMA AUTO PARTS? Akasema we hiyo namba umeitoa wapi nikamwambia toka nje uione, kutoka haaa!, ilibidi hata yeye ashangae maana kumbe kuna tapeli kaja akabandika kijikaratasi cha namba zake za wakala akafunika iliyokuepo!
Within dk kumi tukawapigia voda wakasema huyo mtu amekwisha itoa hiyo pesa oooh my God! Yaani alikua sharp kusubiri miamala iingie lol! Voda hawakua na chakunisaidia, wala wakala hakua na chakunisaidia so I LOST THE MONEY!
ANGALIZO:
HAPA KAMA NAMBA YA WAKALA UNAIONA NI BORA UULIZE ILI AKUTAJIE MWENYEWE,
KWA WALE MAWAKALA, NAMBA ZENU NI BORA MZIBANDIKE NDANI AU SEHEMU AMBAYO SIO RAHISI KWA MTU KUIGUSA.
HUYU TAPELI AMENIHARIBIA SIKU YANGU YOTE! SO TUWENI MAKINI JAMANI.
Source.Copy and paste
Muwe Waangalifu na Matapeli.......................