Conrad84
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 104
- 43
Habari wadau?
Nina ndugu yangu wakike ana tatizo la moyo, linamsumbua sana. Mara nyingi anakuwa mgonjwa na kuvimba mwili kisha akipelekwa hospital na kuchoma sindano anarudi kawaida...hii imekuwa ndo maisha yake. Mwaka jana alifanyiwa vipimo akagundulika kuwa artery ni fupi kuliko vein. Je tatizo ili linatibika? Ni hospital gani aende?
Asante