The yesterday results zmeniumiza Sana,,,huwez kumuweka Bale mbele kat kat,,bora angemuanzsha Chicha ama James angecheza kat,,,then Ramos Jana kaharibu si kwamba hawez Ila Mzee Pirlo na Vidal walitumia akili nying sana kuliko nguvu walizotumia A.Madrid wakina Koke na Turan ama Godin,,,,kiungo...