Recent content by ETISALBI

  1. E

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

    ni vitu gani hivyo mkuu? Tujuzane tafadhali! Maana cku yoyote toka leo nategemea kwenda huko, nna kama m3 hivi nataka nkachukue nguo za watoto na mikoba
  2. E

    JamiiForums Tanzania Beni...naomba nipeleke driving school eeeh.....

    hahahahahaaaaa mbavu zangu jamani
  3. E

    JamiiForums Tanzania Mashine za kutotolesha mayai (Incubators): Upatikanaji wake, aina zake, matumizi na ushauri

    mkuu namimi nikihitaji incubetor ya mayai 100 au pungufu kidogo inaweza kua sh.ngapi?
  4. E

    JamiiForums Tanzania Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    hapa unazunguzia gharama kama 2.8m hapo ni kila kitu au? Maana mm nataka kujua gharama yote kwa ujumla, mbolea, mbegu nk
  5. E

    JamiiForums Tanzania Wivu unanimaliza!

    pole mkuu, mi naona kwanza kwa mapenz ya sasa utaja kufa kabla ya wakati, hebu fikir cku moja ukigundua ana m2, hebu ishi nae kwa uhuru kwamba cc ni binadam any thing my happen,
  6. E

    JamiiForums Tanzania Wivu unanimaliza!

    temea mate chini, mbona utakonda kama huli! Na itafika muda utanyoosha mikono mwenyewe
  7. E

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nasikia sasa nimekutana nayo

    pole mkuu, kwa mwendo wa sasa ni bora uwe fifty fifty, mtu akijua kapendwa sana basi inageuka kuwa bakora kukuchapia, zaidi ww jiambie tu unahitaji kuanza upya kwa maana umejifunza kwa makosa yako, kumbuka lililo kupeleka hapo fanya hilo. Remember when love ends life continuous!
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mademu

    we mtoto unayajua mademu?
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

    asante ka ushauri mkuu badili tabia ntalifanyia kazi
  10. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

    kama ulikuwepo! Ila tushakustukieni hio janja yenu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

    umeona eeeeeee?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

    kwi kwi kwi! Kwa nn wasema hivyo excel? Unajua ktk kuongea na marafiki naona wengi wako na tatizo hili, ukiwa mtafutaji mume anasahau wajib wake badala yake..
  13. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

    asante kwa ushauri, ntaufanyia kazi
  14. E

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

    sawa mkuu
Back
Top Bottom