Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

Hivi kwa nini inakuwahivi? Ushaur jamani..

Mami lazima uwe mjanja kama nyoka lakini mpole kama huwa! Jifunze kutunza akiba na iwe siri! Usitoe fedha yote ndugu!
 
Habar zenu wakuu, naomben uzoef kwa wanandoa kwa nini wanaume mko hivi, tusipowaonyesha pesa zetu mnapiga kelele ooohata anaingiza sh ngap kwa mwez hasemi. ukijua tabu matatizo hayeshi, anahakikisha huna hata akiba ndo atulie, sasa likija suala la mm nahitaji kiac cha pesa nlipie kamzigo du kama si yeye MKALI, hii ni hulka au anaibiwa mtu hapo?
ushawahi kuwa na ndoa ngapi hapo kabla??

inaonekana umeolewa mara nyingi sana...
 
Mwanamke akiwa na hela anakuwa na maringo! So first rule of mariage usimkataze mkeo kufanya kazi ila hakikisha mkeo hawi na akiba ya kutosha!
 
Huyo mwanaume kakugeuza wewe ng'ombe wa maZiwa, anakamua tu...... Shtuka!!!!!!
 
ushawahi kuwa na ndoa ngapi hapo kabla??

Inaonekana umeolewa mara nyingi sana...

kwi kwi kwi! Kwa nn wasema hivyo excel? Unajua ktk kuongea na marafiki naona wengi wako na tatizo hili, ukiwa mtafutaji mume anasahau wajib wake badala yake..
 
mwanamke akiwa na hela anakuwa na maringo! So first rule of mariage usimkataze mkeo kufanya kazi ila hakikisha mkeo hawi na akiba ya kutosha!

kama ulikuwepo! Ila tushakustukieni hio janja yenu
 
Back
Top Bottom