Habar zenu wakuu, naomben uzoef kwa wanandoa kwa nini wanaume mko hivi, tusipowaonyesha pesa zetu mnapiga kelele ooohata anaingiza sh ngap kwa mwez hasemi. ukijua tabu matatizo hayeshi, anahakikisha huna hata akiba ndo atulie, sasa likija suala la mm nahitaji kiac cha pesa nlipie kamzigo du kama si yeye MKALI, hii ni hulka au anaibiwa mtu hapo?