Recent content by Eswa

  1. Eswa

    We mbaba unaacha ngapi ya mezani?

    Tukishakwambia tunaacha shilingi ngapi then what.? Mbona kupenda kujua maisha ya wanaume wenzio wanaishije na familia zao.? Ndugu kuwa busy na maisha yako na familia yako, hii itakusaidia sana kuishi kwa amani.!
  2. Eswa

    Kumuona nabii kiboko ya wachawi ni laki tano

    Exactly 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  3. Eswa

    Kumuona nabii kiboko ya wachawi ni laki tano

    Huyu Nabii huwa namsikiliza usiku kwenye redio ya EFM, ana maigizo flani ya kufufua watu, kuna simu zinapigwa na wasikilizaji na kusema ndugu yao amefariki muda huo, so wanaomba msaada ili awasaidie, mara anawaambia roho ya ndugu yao bado ipo hapo ndani, anawapa maelekezo then unasikia wanasema...
  4. Eswa

    Huyu Mfalme Charles ana dharau sana au anamaanisha nini?

    Hapa ni swala la utofauti wa utamaduni.!
  5. Eswa

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Proffesional: Kiswahili Language Trainer for Foreigners Experience: 8years of teaching Kiswahili to Foreigners 3 years as Hotel Manager (3*) and Restaurant Manager (Nungwi - Zanzibar) Location: Dar es Salaam/Zanzibar I can work as: Hotel/Restaurant/Bar Manager/Supervisor Guest Relation...
  6. Eswa

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Daah ndiyo maana wanaume tunakufa sana, yaani kijana kajipanga kafunga safari kwenda kula tunda, huku tunda lenyewe linatafuta ushauri lisiliwe..!!
  7. Eswa

    Official and Confirmed: MVP Zouzoua Pacome is green and yellow

    Graph inasemaje mpaka sasa.?
  8. Eswa

    Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Upo sahihi kabisa
  9. Eswa

    Nimechoka kujifanya najua, hebu tusaidiane hapa

    Viambishi vya mahali (locative suffix) "ko, po, mo" Ko - general (ujumla) Kiaambishi hiki hutumika unapoongelea mahali kitu/mtu alipo kwa ujumla (general). Mfano: Niko Dar es salaam (Dar es salaam ni kubwa na haifafanui upo Dar es salaam sehemu gani) Pia kiambishi -ko kinatumika unapouliza...
  10. Eswa

    Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni

    Shukrani Mkuu
  11. Eswa

    Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni

    Heri ya mwaka mpya wadau Mimi ni Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni na nimethibitishwa na Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) mwaka 2019. Nina uzoefu wa miaka miaka 7 na nimefundisha wageni katika taasisi mbalimbali zikiwemo za kitaifa na kimataifa. Pia nimeshiriki kuweka kozi ya kiswahili kwa...
  12. Eswa

    CHANEL ZA AZAM SPORTS ZOTE HAZIONEKANI KENYE CHANEL LIST

    Tafadhali wasiliana na upande wa huduma za kisimbuzi ili kupata msaada wa changamoto uliyonayo, Tuma neno "habari" kwenda na 0677996611 kupitia WhatsApp kisha chagua huduma unayotaka kwenye orodha utayotumiwa. Unaweza pia kupiga *150*50*5# na kuchagua huduma unayotaka na kupata msaada binafsi...
  13. Eswa

    Mashine imegoma kusimama siku ya tatu, naombeni ushauri

    Ebu nitumie namba za hizo mbususu mbili ulizoshindwa kuzichakata nIzifanyie counselling
Back
Top Bottom