Recent content by esther mashiker

  1. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Usultani wa Maalim na usaliti wa Membe na Lissu

    Mara paap jioni imefika nakutana na picha za maigizo ambazo naona watu wanajidanganya kwamba eti kupitia picha hizo wanaweza kuongoza nchi ikanibidi nicheke kidogo kisha nikashushia na glasi yangu ya wine isiyo na kilevi, kisha nikajiuliza hivi huyu Sultan Maalim Seif, Msaliti Membe na Mtumishi...
  2. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Mitihani ya Kidato cha sita nchini kuanza rasmi Juni 29, 2020. Wanafunzi wa bweni watakiwa kuripoti shule Mei 30

    WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza mitihani ya kidato cha sita nchini itaanza Juni, 29 na kukamilika Julai 16, mwaka huu.Akizungumza leo na Waziri wa elimu, Prof. Joyce Ndalichako, amesema wanafunzi ambao ni wa bweni wanatakiwa kuanza kuripoti Mei 30, mwaka huu ili ifikapo Juni...
  3. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa uvuvi kupata ajira kimataifa

    WATAALAMU wa vyombo vya uvuvi nchini wataanza kuajiriwa kitaifa na kimataifa, baada ya Bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa viwango vya mafunzo na utoaji vyeti kwa wafanyakazi wa vyombo vya uvuvi wa mwaka 1995 Mawasiliano, Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, alisema kuridhiwa kwa mkataba...
  4. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    RAIS John Magufuli ametoa maagizo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na watendaji wengine, kutopokea vifaa vya kupambana na virusi vya corona vinavyogawiwa kwenye taasisi na watu mbalimbali, bali lazima vipitie wizarani na vihakikiwe ubora wake. Amesema kwenye vita...
  5. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Yuda Gurty aliyewahi kuwa M/kiti BAVICHA Mbulu amehamia NCCR Mageuzi

    1. Akiongea na waandishi wa habari alianza kwa kuelezea historia yake fupi akiwa CHADEMA huku akielezea baadhi matukio ya hatari kwa dhana ya kutumikia chama chake akitolea mfano Maandamano ya tarehe 5/01/2011 yaliyokuwa kwaajili ya kupinga Mayor fake katika manispa ya Arusha, kwamba katika...
  6. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa michango iliyokusanywa na CHADEMA ili kuwalipia faini viongozi wao

    MCHANGANUO WA MICHANGO ILIYOKUSANYWA NA CHADEMA ILI KUWALIPIA FAINI VIONGOZI WAO. 1. Rais Magufuli 38,000,000/= 2. Watanzania 30,000,000/= 3. Ndugu wa Mch. Msigwa 2,000,000/= 4. Hamphrei Polepole 30,000,000/= 5. Mkopo (Precision Air Tanzania) 250,000,000/= Jumla ya Michango yote ni...
  7. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya shilingi yamwagwa kujenga barabara Kigoma

    SERIKALI ya Tanzania imetiliana saini mkataba na wakandarasi wanne wa kampuni ya ujenzi ya China kwa ajili ya barabara ya kiwango cha lami kutoka Kabingo wilayani Kakonko hadi Manyovu wilayani Buhigwe yenye urefu wa kilometa 260 kwa gharama ya Sh bilioni 584.7. Waziri wa Ujenzi, Isack Kamwelwe...
  8. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Liparamba: Pori lenye simba weupe na tembo ‘wakimbizi’

    PORI la Akiba la Liparamba linalopita katika wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, limejaaliwa kuwa na vivutio ambavyo havipatikani katika hifadhi nyingine nchini. Liparamba ni hifadhi iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji ambayo ina wanyama aina ya tembo ambao ni wakimbizi ikiwa na maana kwamba...
  9. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Katani Katani ajiuzulu na kujiunga CCM

    Mbunge wa Tandahimba, Katani Ahmed (CUF) amejiuzulu kiti chake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Ijumaa, Februari 21, 2020. Ahmed ametangaza kujiunga na CCM akiwa katika mkutano wa ndani wa chama hicho tawala katika Jimbo la Nanyamba mbele ya Katibu Mkuu wa CCM, Dk Bashiru Ally. Huu...
  10. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Profesa chuo cha Oxford asifu uchumi Tanzania

    TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambazo hazipo katika hatari kubwa ya kudodora kiuchumi kutokana na kuwa na kiwango cha chini cha madeni. Hali hiyo imebainishwa jijini Dar es Salaam juzi na Mchumi kutoka Chuo cha Oxford cha Uingereza, Profesa...
  11. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Wazee wampongeza Rais Magufui ujenzi bwawa la Nyerere

    CHAMA cha Saidia Wazee Tanzania (SAWATA) kimempongeza Rais John Magufuli kwa ushupavu, alioonesha wa kuamua kutekeleza ujenzi wa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Mto Rufi ji wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP), ambao ujenzi wake kwa sasa umefi kia asilimia 10. Mradi huo wa kuzalisha...
  12. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Tume ya Taifa ya Uchaguzi yaongeza siku za kujiandikisha na kuboresha taarifa za wapiga kura kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza kuongeza siku tatu kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura mkoa wa Dar es Salaam. Hiyo imekuja mara baada ya NEC kufanya kikao cha kutathimini zoezi hilo ambalo awali lilitakiwa kukamilika leo, Februari 20, 2020, hivyo uandikishaji utaendelea hadi...
  13. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya gesi majumbani yaongezeka

    BIASHARA ya utumiaji wa gesi majumbani (LPG) inazidi kuongezeka nchini kutokana na takwimu za miaka ya hivi karibuni kuonesha ongezeko la wastani wa zaidi ya asilimia 100 kutoka mwaka 2010 hadi kufi kia mwaka 2018. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati...
  14. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa tahadhari ya Virusi Corona, yasema hakuna mgonjwa Tanzania

    Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, imewatahadharisha wananchi kujilinda na tishio mpya la ugonjwa mpya unaosababishwa na kirusi Cha Corona(Novel Corona Virus 2019- nCoV) ambao umelikumba taifa la China na kuwepo kwa taarifa kusambaa katika Mataifa Mengine. Akizungumza na...
  15. esther mashiker

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wadhamini hawawezi kunirudisha Tanzania, nitarudi nikihakikishiwa usalama wangu

    NA KWA JINSI UNAVYPOPENDA KUGOMBEA URAIS UTAKUJA TU NI SUALA LA MUDA
Back
Top Bottom