Recent content by Esther Kimario

  1. E

    Natafuta kiwanja mbeya mjini

    Asante ndugu yangu Mokoyo... Najua angeweza kuwa msaada lakini pia nafikiri yeye kama mbunge anapaswa kuhusika zaidi na matatizo yanayogusa jamii kuliko mtu mmoja mmoja. (Najua mi ni shehemu ya jamii hiyo) but mh! ngoja tumwachie majukumu yanayogusa population iliyo kubwa ya wakazi wa mbeya
  2. E

    Natafuta kiwanja mbeya mjini

    Habari za kazi wana jamvi. Ninatafuta kiwanja kilichopimwa mbeya mjini. Bajeti yangu ni shilingi milioni nne. (4M) Mwenye taarifa ani- PM tafadhali
  3. E

    Kiwanja Kinauzwa

    Wapi? Kigamboni (km 13 kutoka feri) Unavuka kibada Kwenye mradi? Hapana. Hili nieneo lililo nje ya mradi wa mji mpya Ukubwa? Miguu 20 upana, na miguu 45 urefu Kimeendelezwa? Kina banda zuri lililofikia stage ya lenta (Banda lina Chumba, sitting, choo na jiko) - Halina muda mrefu. Pia kuna karo...
  4. E

    Nauza Suzuki Vitara 3-Doors

    Nipe gari ambazo ungeweza kubadilisha na hii pse (Saloon cars?)
  5. E

    VETA washaita watu kazini?

    Ya kweli hayo quirine? Sio kwamba wiki iliyopita ndo watu walikuwa kwenye kufinalize negotiations za mishahara ili waanze kazi next month?
  6. E

    VETA washaita watu kazini?

    Wakiitwa reserve watafanya vzr maana wataenda wakijua wanaenda kwenye interview.. tofauti na sisi watu tulikwenda tukijua tunaenda kusign mkataba! Kwa wale tuliouliza aliyepiga alikuwa akisema hapana sio interview ni maongezi tuu mafupi na management... Bt that's life ha ha ha!
  7. E

    VETA washaita watu kazini?

    Huo ni karibu zaidi na ukweli maana wa kupigiwa wameshapigiwa, as I said, a friend of mine alipigiwa. Ukweli ni kuwa wa2 hawakwenda wakijua kutakuwa na interview nyingine na walikuwa so unprepared! Hivo waliperform so badly, na wengi wali-admit kuwa walifanya vibaya kutokana na kutojua kuwa...
  8. E

    VETA washaita watu kazini?

    Jamani nimepata habari kutoka kwa reliable source kuwa interview ya pili ilikuwa na umuhimu sana (pengine zaidi ya ile ya delloite) na kuwa most of the interviewees waliperform below the set minimum passmark! Very few have been contacted and will probably report at their duty stations in Early...
  9. E

    VETA washaita watu kazini?

    Ile multiple choice yangu hapo juu niliitunga kama utani kumbe imeshageuka kweli? .... Dah, inaelekea "C" ndio jibu sahihi!... we are finished!
  10. E

    VETA washaita watu kazini?

    Siku, wiki hatimaye miezi imepita... mwenye taarifa atujuze jamani ... au ndo hivyo ilibidi tujue kuwa pakionekana manyoya basi ameshaliwa tayari?
  11. E

    Nina milioni 3(tsh) nianzishe mradi gani

    Dont you have a pocket?...., could have helped us by keeping your composites in there! (Sorry, I did not intend to behave like you...!)
  12. E

    he!kumbe nafac za kazi nida,walisharipoti kazini!!

    Hizo red hapo juu nimezikubali! Kwani wewe kaka hujui kuwa kazi wanapewa watu wenye address tuu siku hizi? Kwani mi nilishagundua mapema nikasema kwani nikifuga ngómbe wangu wawili wa maziwa kwani sitapata hela sawa na kuajiliwa? especially kama ajira zenyewe ni za kujuana ki-hivyo!
  13. E

    wapi kazi za Ba in History?

    Hawezi kuwa alisoma history tuu! Na km alikuwa UD maana yake alikuwa faculty of arts and social sciences... amesoma research na mikozi mingine isiyo ya history mingi tuu. Kila anapoona requirement ni "A bachelor degree in social sciences" anawezatia timu... cha muhimu pia ni compitencies...
  14. E

    VETA washaita watu kazini?

    Ha ha ha!... ofisini m2 unaenda na kagodoro kako...Slow in everything.. kwi kwi kwi!
  15. E

    wapi kazi za Ba in History?

    Majumba ya makumbusho, na kufundisha.
Back
Top Bottom