Recent content by establishment

  1. E

    UDSM ilikuwa zamani! Siku hizi uchawa, uchakavu na staff omba-omba!

    Yupo jamaa mwalimu hapo UD anafanya biashara ya kuuza mitihan na kuwaandikia wanafunz disertation kwa bei elekezi. Ukikataa utajuta siku ya presentation anajidai mkali kumbe hasira za kukosa pesa kwako.
  2. E

    KERO: Wanafunzi wa Masters UDSM zaidi 80 hatarini kukosa mahafali ya December 2026

    1. Sisi Wanafunzi wa Masters Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Main Campus. Tunacheleweshwa kupewa matokeo yetu ya Dissertation ili tuweze ku-graduate Mahafali ya mwezi Disemba 2026. 2. Mfano Wanafunzi wa Shule kuu ya Elimu Chuoni hatujapewa matokeo yetu toka tuwasilishe dissertation mwezi...
  3. E

    Makahaba/Matapeli wa mapenzi SGR station Dodoma

    Mzee wa kuzamia SGR limekukuta jambo
  4. E

    ANC maji ya shingo. Lumumba twendeni tukaokoe Chama rafiki

    Uchaguzi SA umekaribia ila Chama rafiki hali ni tete. Twendeni tukawadhibiti Vyama pinzani. Twendeni na masanduku ya kura tusaidie wapigania uhuru wa ANC kushinda kwa kishindo. RIP Chivayo.
  5. E

    African Grand Prix nitaenda. Tuombeane uzima tu!

    Hapo nyama zitabondwa sio poa. KAGAME ANAJUA ANACHOTAKA
  6. E

    Warangi wakarimu kuliko ukarimu wenyewe

    Warangi kukupa nyapu ni kama kupewa maji ya kunywa. Kama upareni tu
  7. E

    Maznat Bridal: Msomi wa Sheria na mrembo aliyeteka moyo wa Profesa!

    Tunamkubali sana mwanamke shupavu [Malkia wa Nguvu]
  8. E

    Maznat Bridal: Msomi wa Sheria na mrembo aliyeteka moyo wa Profesa!

    Mrembo huyu wa kiwango cha dunia ndie aliyeteka na kulainisha Moyo wa Profesa Nguli toka upareni. Hapana chezea utamu nyie. PhD (LLD) tupa kule Bibie alipindua meza ya Mke wa ndoa akajiweka kwa Prof
Back
Top Bottom